Nimecheka sana aisee 😂😂Alikua anakata tonge mbili za ugali kwa wakati mmoja,
Yani matonge mawili mkononi kama vile Truck na tela lake.
Hivi nini kisababishi? Anayekoroma uwa hajisikii au? Aargh ni kitu ngumu kuivumiliaAlikua anakoroma kama Jenereta linalokaribia kumaliza mafuta.
Una Ma ex changamoto sana 🤔🤭Alikua ananuka kama Kondoo aliyenyeshewa na mvua.
Ndio natafuta sasa wakutulia nae,Una Ma ex changamoto sana 🤔🤭
Shida iko wapi hapa? 😀Alifungua soda kwa meno
Umeshapumzika vya kutosha na kupoa? 😄Ndio natafuta sasa wakutulia nae,
Nisaidie kutafuta.
😀
Comments zinachekesha 😂
Yani nimepumzika mpaka nimechoka kupumzika.Umeshapumzika vya kutosha na kupoa? 😄
Comments zinachekesha 😂
Usiwe kama yesu SasaNitarudi
Haujui🤭Kitunguu ndii nini 😂
Sijui kweli 😂Haujui🤭
😂🙌Sawa Raisi.Usiwe kama yesu Sasa
duh Anaendeleaje huko aliko?Tukiwa kwenye romance hivi, kufuli ishafunguliwa na naona kipochi hicho, kinanang'anika si ndo nami natoa magwanda tayari kuchomeka mhugo wa ja'ngome, naambiwa hebu ngoja kwanza...................."wajua mimi niko kwenye mchanganyiko wa mawazo....yaani kuna huyu jamaa ana nafasi yake nzuri na nyumba, magari, na huyu mwengine, ni handsome na amesoma vizuri!, saa kati ya hawa wawili sijui nichague yupi?". Ndio naulizwa mwenzenu...........daah, kichwa wazi alisinyaa hapo hapo, nika hisi nimepigwa na kitu kizito....nakumbuka nikimuuliza, je na mimi, umeniweka wapi?....alinambia, wewe ni good time tu, kwanza wewe sio class yangu................yaliishia hapo!!!
Kwamba unaogopa ndevu zangu zenye mvi ama hupendi tu Wanaume Wazee?Nitamtuma jirani yangu akuletee huo urojo, mimi na watu wenye ndevu hua sipendi hata kukaribiana nao