Dah nilikuwa najiuliza nini hii 😂 😂Now we are talking 😊
Huyo rais wa vibamia hujui? 😹Ana kitunguu?😅
Pacha sema yote, maana hiyo introduction ime pelea 😂😂Mimi walivyoanza kuitana dada na kaka na ex hawala ake, hapo hapo nikawapiga kadi tatu wote..!! Na yalivyo majinga hayajui yenyewe nayachora tu 😹😹😹
Ndio ushajua sasa🤣Dah nilikuwa najiuliza nini hii 😂 😂
Sijui dada🤭Huyo rais wa vibamia hujui? 😹
😂😂😂😂Nilimpiga simu aje ghetto akasema Leo hawezi kuja eti anaenda kwenye kampeni za ccm!
Halafu lilivyokuwa jinga jioni linarudi kutoka huko kwenye kampeni limevaa tisheti ya kijani yenye picha kifuani halafu kichwani kumefungwa kitambaa cha rangi hizo nilipomwona tu mlangoni na hiyo mijasho ya kwapa nikafunga mlango kwa ndani aligonga mlango akaita mpaka akachoka sipokei simu zake mpaka Leo!
Acha ufukunyuku 😹😹😹Pacha sema yote, maana hiyo introduction ime pelea 😂😂
Nasikia eti mafaza wana wamega..eti ni kweli?Niko hapa kusoma comments za waja, sie Watawa haituhusu kabisaa hii.
😂😂😂😂
Ay lavyu cacaNiko hapa kusoma comments za waja, sie Watawa haituhusu kabisaa hii.
😂😂😂😂
Ila we mzee ni noma kweli yaani 😂Sijabahatika kupata wapenzi Vimeo, labda Kwa kuwa huwa nafanya screening kabla sijarusha ndoano
Changamoto nyingi za kibinadamu zinaweza kubadirishika, muhimu mpendane tu
Binafsi sio mnywaji wala kuvuta, lakini nimewahi kudate na mabinti wanywaji na wavutaji (College students), nashukuru Mungu walinielewa nilipowaambia sitaki watumie kilevi
Najua wachumba/waume zao huko watakuwa wanashukuru kupata wake/wapenzi wasio watumiaji wa vilevi (Kumbe kazi kubwa nimeifanya Mimi huku 🤗)
NB; matukio ya Mwaka 47 though 😜
😹😹 Basi nikupe swahiba huyo swahiba angu ukajionee..!!Sijui dada🤭
Aanh hapana aisee hawa siwataki kabisaa! Majaribu haya siyawezi😂💔😹😹 Basi nikupe swahiba huyo swahiba angu ukajionee..!!
Umenimiss eeh?Mbona na wewe ni walewale kwanini umchukie wakati umepewa wa kufanana naye..!! 😹
Nilifanya kukumbushia matukio ya Mwaka 47 tu 😅Ila we mzee ni noma kweli yaani 😂
Kwamba Wazee tumegoma kuzeeka 😅Hehehe kweli daslam uzee mwisho msata
Kuweni na huruma na Wazee, vinginevyo tutakufa na baridi 😜Hmm nyie hapana, yanini kunifanya niwe suspect no 1! Vifo vyenu huwa vya aibu sana🥲
Picha la kizaramo hili 🤔😅Acha ufukunyuku 😹😹😹
Niliwahi kusoma msg zao walizokua wanachati na bibie king’ang’a Zuchu anasubiri…!!
Alikua anaomba appointment akapigwe miti, anabembeleza na kutishia kujiua eti imagine jamani 🥺😝😝
Alinichosha alivyosema anampa dry, nikashtuka huyu anakoelekea atamwambia ampe Juma Lokole bure!!
Bwana naye anataka kujaribu Ila sitaki nataka, nikasema kuna siku uvumilivu utamshinda bure akaenda kusomba UTI ya makao makuu aniletee hekaheka!!
Nikampa kikono 👋 kwaheri ya kuonana 😹😹😹
Hiyo oktoba naji piga quarantine na jirani yangu 😊Kwamba Wazee tumegoma kuzeeka 😅
Tunafanya kuchangamsha jukwaa tu kuelekea Oktoba ya ku-tick na Ku-toka