Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Ndugu zangu wana JF hakika sisi tumebarikiwa kuliko binadamu wote, maana humu nasoma visa vya "Kuwaacha" tu! Sijaona watu wakisema "Niliachwa kwakua nina ongea sana" au "kwakua nilikua na gubu sana".

JF tamu sana!
Humu tatizo chai nyingi sana
 
Nilienda nae The Dz Restaurant pale Bagamoyo....aisee alikuwa anatoa amri kwa wale wadada mpaka wale wahudumu wakawa wananishangaa nimeingiaje kwa msala ule maana walikuwa wananifahamu(mteja wa kudumu pale)
Ikafika mda wa change ilibaki 1500 nikamwambia mhudumu baki nayo .....akaingilia kati "hiyo change lete maji Ya kunywa''
Hapo mezani kuna chupa mbili za lita koja moja.
Nikajua hili ni tatizo. Was the end hata show sikuomba.
Kiufupi ni mkoloni
 
Kwamba unaogopa ndevu zangu zenye mvi ama hupendi tu Wanaume Wazee?

Kuna clip moja tungekuwa karibu ningekuarika tuangalie wote, ni movie ya mabinti kwa mabinti

Usinambie umechagua upande ule, ukaacha ndevu zenu tunazotumia kama brush kuongeza msisimko tukiwa tunalima 🤗🏃
Hiyo movie lazima itakua Below her Mouth, wanaume mmeiona hiyo movie kuliko hata wanawake🙌🏻

Jinsia yenu kiujumla wake hainisisimui haijalishi umri, ndevu, jasho 🤢
 
Hiyo movie lazima itakua Below her Mouth, wanaume mmeiona hiyo movie kuliko hata wanawake🙌🏻

Jinsia yenu kiujumla wake hainisisimui haijalishi umri, ndevu, jasho 🤢
Kwanini Sasa inakutokea hivyo? Inamaana wewe haujawahi kufanya mapenzi na mwanaume?
 
Back
Top Bottom