Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Hizi siku mbili ulikua hauna hela ya bundle nikapumzika leo hela umetoa wapi?
Kumbe unanifatilia 😹😹😹
Mimi winga lazima nishinde chimbo kuwatafutia bidhaa wateja..!!

Halafu kweli bundle sina mtu wangu nipe vocha basi tajiriiiii Lucha 😥
Machawa mna pesa sana wenzetu..!!
 
Kumbe unanifatilia 😹😹😹
Mimi winga lazima nishinde chimbo kuwatafutia bidhaa wateja..!!

Halafu kweli bundle sina mtu wangu nipe vocha basi tajiriiiii Lucha 😥
Machawa mna pesa sana wenzetu..!!
Ntakupa tarehe 29 ukiwa umejifungia ndani ili upige mikwara mtandaoni vizuri
 
Ndugu zangu wana JF hakika sisi tumebarikiwa kuliko binadamu wote, maana humu nasoma visa vya "Kuwaacha" tu! Sijaona watu wakisema "Niliachwa kwakua nina ongea sana" au "kwakua nilikua na gubu sana".

JF tamu sana!
 
Nilienda nae The Dz Restaurant pale Bagamoyo....aisee alikuwa anatoa amri kwa wale wadada mpaka wale wahudumu wakawa wananishangaa nimeingiaje kwa msala ule maana walikuwa wananifahamu(mteja wa kudumu pale)
Ikafika mda wa change ilibaki 1500 nikamwambia mhudumu baki nayo .....akaingilia kati "hiyo change lete maji Ya kunywa''
Hapo mezani kuna chupa mbili za lita koja moja.
Nikajua hili ni tatizo. Was the end hata show sikuomba.
 
1.Wakati wewe unasema utaenda kwetu kuna mwenzako anaenda mwezi wa kumi na moja kuchumbia(2014)

2.Nilpiga simu kapokea,huku wakiendelea kugongana na jamaa yake.Nikaweka call recording.Alipokuja nikamsikilizisha mdogo mdogo ,yeye akasema huyu dada hana akili😀😀😀 katika huko akisikia jamaa yake akimuita jina kwa utamu waliokuwa wanapeana.(2016)

3.Alipigiwa simu saa kumi usiku pasipo mategemeo baada ya settings zake kufail..Mwamba anauliza Mke wangu upo wapi hupatikani..alijua nimelala kumbe malaika aliniamsha..😀😀 akamjibu mumewe kuwa nipo na mume wangu😀😀😀😀😀😀( 2019)
 
Ntakupa tarehe 29 ukiwa umejifungia ndani ili upige mikwara mtandaoni vizuri
Okay, siku hizi posho mnalipwa mwisho wa mwezi sio kila week tena? 😹😹😹
 
Back
Top Bottom