Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

Kupunguza kikosi cha michepuko, nikitema mmoja baada ya muda najikuta nimesajili wawili
 
Yule kijana Alikuwa na tabia kama zako japo sikuwai kumwambia ila nilikuwa naumia kindanindani

Ukiingia Instagram unakuta amelike kabisaa wadada wakaa uchi na wanajichekesha kudadekii

Haya bhn
 
Mkuu Pima DNA unaweza kuwa na mtoto mwingine naye.
Watu kama hao ndiyo wanawafanya vijana wenye harakati kama ya "KATAA NDOA" kua na sababu zenye mashiko kwenye Agenda yao.. wanakatisha tamaa sana watu kama hawa.

Huyu lazima tu ana mtoto na huyo mwanamke imagine muda wote huo anachepuka nae 20 yrs, alafu kule mwamba ukute anajivunia kua ana mke na watoto..
 
Mkuu unafikiri napenda hii Hali ikikuvaa, hupindui nachojitahidi ni nisiwesababu ya kuwaachànisha maana many times mwanamke alishatishia Kuomba TALAKA ila namjenga kisaikolojia anatulia, mkuu hivi viumbe unaweza. Ukavipa Dunia mzima na Bado ukasalitiwa, Kwa Mimi binafsi Sina Imani kbs na kiumbe anaeitwa Hawa!
 
Yule kijana Alikuwa na tabia kama zako japo sikuwai kumwambia ila nilikuwa naumia kindanindani

Ukiingia Instagram unakuta amelike kabisaa wadada wakaa uchi na wanajichekesha kudadekii

Haya bhn
Wewe ke au me?
 
Mwanamke ndiye mjinga tu...imagine unakosesha ndoa yako furaha kisa mume wa mtu. Binafsi nikichepuka sitaki mwanamke ninayechepuka naye anipende au nimpende maana najua madhara yake.
 
Kuchepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…