Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Ndugungu zangu katika imani!

1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.

2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.

3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.

4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.

Bye bye πŸ‘‹
 
Maneno ya kuwashaabikia hawa viongozi wanaoiuza Tanganyika.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…