Na wengine wa namna hiyo.Maneno ya akina Luka, siyo?
Kabisa mkuuEe kwel bwana
Nasikia Kuna vazi linaitwa kobazi.Ni wagalatia wa nyanda za juu kusini huko ndo wavumbuzi wa ilo neno
Alekusalam!
Nimelia kwa sauti kubwa sana hadi watoto wangu wakasikia.Inasikitisha sana mkuu 😂
Korea ya kiduku hawana uwezo mkubwa ila watu hawataki kuichokoza kwa sababu kiduku haoni tabu kurusha bomu la nyuklia na kukuangamiza tofauti na nchi kama Iran ambayo ina nyuklia nyingi kuliko north Korea lakini hawaitumii kwa sababu viongozi wao wana akili timamu.Mbona korea ya kiduku ni harari kweli hata marekani na dunia inajua...unajua kwa nini ukrai awajafanya figisu kwa kiduku japo kiduku kupeleka wapiganaji upande wa urussi ...ujasikia ugaidi wowote kutoka kwa Zelensky kuipigq hiyo korea
😂😂😂😂😂Nikisikia mtu anasema Mudi boy ni mtume 😁😁😁
Napata moto mtu akisema hovyo 😀.Mama anatosha acha makasiriko
Nao tunawaunganisha mumo humo.Na wengine wa namna hiyo.
Kusema No Reforms No Elections NI UPUNGUWANINdugungu zangu katika imani!
1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.
2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.
3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.
4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.
Bye bye 👋
😂😂Mtu akianza kuleta habari za wanawake badala ya kuchambua fursa zilizopo namuona mbwa
Ndiyo umeongea nini sasa ....hiyo ndiyo hatari yenyewe hata marekani athubutu kufanya ugaidi wa kuua viongozi wa hiyo nchi ...na kuhusu nuclear korea hiyo ilikuwa wanaiogopa hata kabla ya kumiliki nuclear....pia umejuaje kuwa Iran ana nuclear bomu?Korea ya kiduku hawana uwezo mkubwa ila watu hawataki kuichokoza kwa sababu kiduku haoni tabu kurusha bomu la nyuklia na kukuangamiza tofauti na nchi kama Iran ambayo ina nyuklia nyingi kuliko north Korea lakini hawaitumii kwa sababu viongozi wao wana akili timamu.
HahahaWapi hiyo? Mimi mwalimu wangu wa Sekondari alikuwa anapenda sana kutukana hivyo🤣🤣.Pole mkuu.
Hahaha 😂😂Mwanaume kuwa secretary Tena ni ndege wa kike jau sana, 🤠
Nikiona mtu ana judge wengine wakati yeye sio Mungu wala judge wa mahakama kuu hiyo nayo ni changamoto. Wakiamua kutiki october haikuhusu na haikupunguzii wali mezani, akiitukuza N. Korea nyamaza hujiulizi kwanini na ushirika wote wa Mmarekani na S. Korea, USA hajaivamia N.Korea ?...wakiijadili Simba na Yanga inakuhusu nini wewe ni nani kama hata Mo anajadili Usimba na Yanga wewe ni nani uumie kisichokuhusu ? Jifunze kuishi kwa kuvumiliana ukiona hauwezi chagua kuishi kwenye mwezi ila usiforce kufanana mitazamo kwani tofauti zetu ndio zinatuleta pamoja.Ndugungu zangu katika imani!
1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.
2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.
3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.
4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.
Bye bye 👋
Mkuu Korea hamna kitu ndo maana hata hashughulikiwi wala hakuna nchi inayomwaza, nchi tishio kwa marekani ni zile zile (Russia na Iran).Ndiyo umeongea nini sasa ....hiyo ndiyo hatari yenyewe hata marekani athubutu kufanya ugaidi wa kuua viongozi wa hiyo nchi ...na kuhusu nuclear korea hiyo ilikuwa wanaiogopa hata kabla ya kumiliki nuclear....pia umejuaje kuwa Iran ana nuclear bomu?