Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

Nikisikia mtu anasema eti anamkubali chura kiziwi hadi kufikia hali ya 'kububujikwa na machozi' yaani namuona huyo mtu ni HEWA kabisa
 
Mkuu Korea hamna kitu ndo maana hata hashughulikiwi wala hakuna nchi inayomwaza, nchi tishio kwa marekani ni zile zile (Russia na Iran).
Hapo Iran iondoe ...tatizo lako wewe ni akili zako ndogo.....wewe unadhani iran ingeweza kupigana na korea ya kiduku ...korea ya kiduku inaogopwa hata na china na urussi ndiyo maana ilikuwa inawekewa vikwazo na hadi china na urussi tofauti na Iran iliyo kuwa inabanwa na NATO TU
 
Ndugungu zangu katika imani!

1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.

2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.

3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.

4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.

Bye bye 👋
October tunatiki
 
Korea kaskazini ni nchi ya kawaida sana lakini kiongozi wao (kiduku) hana akili timamu, ni mtu asiye na chembe ya busara ukiingia naye kwenye mtifuano Moja kwa Moja anakurushia makombora ya nyuklia kitu ambacho viongozi wa nchi zingine kama Iran hawafanyi japokuwa wana Vinu vingi vya nuclear.

Kim Jong Un ni kiongozi ambaye hana busara kama akina Ayatollah ambao wanamiliki nyuklia nyingi lakini hawazitumii ili Dunia iendelee kuwa salama.
 
Machawa wote kichwani wamejaza pamba.
 
Mtu anayeuliza

"Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani"​

Korea kaskazini ni nchi ya kawaida sana lakini kiongozi wao (kiduku) hana akili timamu, ni mtu asiye na chembe ya busara ukiingia naye kwenye mtifuano Moja kwa Moja anakurushia makombora ya nyuklia kitu ambacho viongozi wa nchi zingine kama Iran hawafanyi japokuwa wana Vinu vingi vya nuclear.

Kim Jong Un ni kiongozi ambaye hana busara kama akina Ayatollah ambao wanamiliki nyuklia nyingi lakini hawazitumii ili Dunia iendelee kuwa salama.
Kwa akili hizi unazo miliki lazima wewe ni muislamu....korea na kiduku hawana busara wakati ile ni defensive mekanisim kutokana na uzito wa adui aliyenaye ...unajua korea ya kusini na kaskazini ni nchi moja ila ushenzi wa nchi za magharibi ndiyo umesababisha ziwe mbili
 
Kwa akili hizi unazo miliki lazima wewe ni muislamu....korea na kiduku hawana busara wakati ile ni defensive mekanisim kutokana na uzito wa adui aliyenaye ...unajua korea ya kusini na kaskazini ni nchi moja ila ushenzi wa nchi za magharibi ndiyo umesababisha ziwe nchi mbili
 
Samadi ni hii laana cheki inacho sema
 
Attachments

  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
Kwa akili hizi unazo miliki lazima wewe ni muislamu....korea na kiduku hawana busara wakati ile ni defensive mekanisim kutokana na uzito wa adui aliyenaye ...unajua korea ya kusini na kaskazini ni nchi moja ila ushenzi wa nchi za magharibi ndiyo umesababisha ziwe mbili
Kwanza kabisa mimi siyo mwislamu halafu tuelewane kitu kimoja.
Hayo unayoyazungumzia sijayakataa, ninachokataa ni huku kusema kuwa Korea kaskazini imewazidi uwezo Iran, Urusi, pamoja na marekani katika masuala yote ya kiulinzi na kwamba wao wana nyuklia nyingi kuzidi hizi nchi zingine.

Watu wenye fikra fupi ndio mnaoaminishwa kuwa Korea kaskazini ndiyo nchi hatari kuliko nchi zingine na hiki ndicho kinachofhihirisha kuwa mbole zimejaa katika akili za watu hao.
 
Back
Top Bottom