B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Nikisikia mtu anasema Mama samia mama mama hatukudai namuona 💩💩Ndugungu zangu katika imani!
1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.
2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.
3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.
4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.
Bye bye 👋