Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

Ndugungu zangu katika imani!

1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani.

2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa.

3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka mirembe kwa gharama zangu.

4. Nikisikia mtu anasema "mitano tena" huwa napata moto.

Bye bye 👋
Nikimsikia mtu anaishabikia au kuisupport Palestina, Gaza au Iran huwa naona ni Hamnazo kabisa kichwani na punguani
 
Mwanaume anayeamini kwamba Mwanamke asiye na hofu ya Mungu ya kweli ( Sijasema anayeenda kwenye Nyumba ya ibada tu ) anaweza asitoke nje ya ndoa
 
Back
Top Bottom