G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Ni jambo gani linakukera sana kama umekaa jirani na mtu au mwenza linakukera?
Mimi yangu ni haya:
1. Nimekaa jirani na wewe halafu uanze kupekenyua pua kwa vidole aisee hii inanikera sana. Ukifanya hivyo halafu bahati mbaya uniguse lazima nikuchenjie maana inanikera kuliko maelezo.
2. Lingine tumekaa pamoja tunakula mara ghafla uanze kutema tema vitu hovyo au uanze kufyonza fyonza mdomo ukitoa mabaki ya chakula kwenye meno. Uchokonoe meno kwa kijiti kisha ukitoe kionekane hadharani ulichotoa mdomoni.
Kama una moja au tabia zote hapo juu basi jua wewe ni miongoni mwa kero kubwa kwa jamii!