corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,663
- 3,397
Akianza kudeka deka. Inaniboa sanaNi jambo gani linakukera sana kama umekaa jirani na mtu au mwenza linakukera?
Mimi yangu ni haya:
1. Nimekaa jirani na wewe halafu uanze kupekenyua pua kwa vidole aisee hii inanikera sana. Ukifanya hivyo halafu bahati mbaya uniguse lazima nikuchenjie maana inanikera kuliko maelezo.
2. Lingine tumekaa pamoja tunakula mara ghafla uanze kutema tema vitu hovyo au uanze kufyonza fyonza mdomo ukitoa mabaki ya chakula kwenye meno. Uchokonoe meno kwa kijiti kisha ukitoe kionekane hadharani ulichotoa mdomoni.
Kama una moja au tabia zote hapo juu basi jua wewe ni miongoni mwa kero kubwa kwa jamii!
Mh..nnavopenda kudeka mieAkianza kudeka deka. Inaniboa sana
Dah!!kwel..sipendi hii kitu balaaSipendi kushikwa kichwani na ukiniuuliza sina hata sababu basi tu sipendi
Watu wazima wapo sana mkuu
Asante @Mshara Jr!Mimi madhaifu yake hayanikeri bali hunipa nafasi ya tafakuri na darasa muhimu na kuweka nadhiri ya kutowafanyia wengine
Jr[emoji769]
Watu wazima wapo sana mkuu
Tena mtu anapangusia mikono na akiona bado mikono ina kamasi anaamua kupaka kwenye mikono kana kwamba anajipaka mafuta. Yaani mimi nachukia handshake kwa sababu ya hizi tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app