Ni jambo gani ukiwa na mtu au mwenza umekaa naye akifanya linakukera?

Akianza kudeka deka. Inaniboa sana
 
Unawazungumzia watoto kama ni MTU mzima kunatatizo mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wazima wapo sana mkuu

Tena mtu anapangusia mikono na akiona bado mikono ina kamasi anaamua kupaka kwenye mikono kana kwamba anajipaka mafuta. Yaani mimi nachukia handshake kwa sababu ya hizi tabia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi madhaifu yake hayanikeri bali hunipa nafasi ya tafakuri na darasa muhimu na kuweka nadhiri ya kutowafanyia wengine

Jr[emoji769]
Asante @Mshara Jr!
Huyu mtu aliyeanzisha uzi inaelekea ni immature.
Sisi kama binadamu haya mambo mengine una ignore na kuyasukumia kwenye Recycle Bin na dunia inaendelea kuzunguka kwenye orbit yake kama kawaida.
Ikiwa jirani yako kwenye daladala anakuna kuna pua, achana naye, kwani pua si ya kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…