Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kuna ambao wako kule nawazidi maisha, mimi nimeongelea kwa ujumla, sisi huku Waafrica bado tuna umasikini mkubwa. Ndio kwanza tumepata uhuru miaka ya 1960, muda wote tulikuwa kwenye ukoloni wa watu weupe. Sioni kama ni sawa kuangaika na hao watu weupe wanaouwana.Hivi unadhani mtu aliyepo vitani Palestina, Ukraine au wale Waafrica waliopo kwenye Ghettos USA, wana maisha bora kuliko wewe ? (Yet unaongelea Umasikini)
Au unadhani anayekunyima Chakula na Kuchezea Kodi yako hapa Directly ni huyo so called Slave Master ?
Hata aliyekumbwa na Slavery na Discrimination Directly alishawahi kusema....
And they Say its the White Man I should Fear, But its my Own Kind doing all the killing Here (and to put matters worse ni his own Kind waliomuua)
In short huo muda wa kuchukia watu na sio deeds zinapofusha binadamu na badala ya kujenga wote kama species tunaendelea kuharibu....
Hivi unajua technically unaweza kusema mpaka dakika hii Palestina wapo kwenye apartheid ?; Hivi unajua antisemitism duniani na jinsi wa-Israel walivyotenga na kuuliwa na wajerumani kwa kitu hicho kufanya na binadamu ni aibu kwa species as a whole kwa kufanyiana binadamu ?Ni kweli kuna ambao wako kule nawazidi maisha, mimi nimeongelea kwa ujumla, sisi huku Waafrica bado tuna umasikini mkubwa. Ndio kwanza tumepata uhuru miaka ya 1960, muda wote tulikuwa kwenye ukoloni wa watu weupe. Sioni kama ni sawa kuangaika na hao watu weupe wanaouwana.
Anayeamini imani kisa tu ni za mababu zake na anayefuata imani kwa sababu anaona ni imani sahihi hata kama ni imani ya kigeni bora nani hapo?Upo sahihi sana . Waafrika wengi Wamedanganywa eti Mungu wao yupo Mecca ,Rome ,Jerusslem hata bila kutumia akili yenyewe ikaitikia ndiyo. Tena wakaambiwa Wasiamini Maneno ya Mababu zao maana ni Ushetani yakaamini kweli .Akienda Rome,Jerusalem na Mecca yanaabudu kwenye Makaburi ya Babu wa kizungu na kiarabu.
Mtu mweusi Muafrika eti anaamini Kuna Gharika ilitokea duniani na Nuhuu alitengeneza safina na Binadamu waliopo sasa wamepona sababu ya Safina hata bado kujiuliza huku Afrika taarifa zilifika vipi za kwenda kupanda Safina. Kingine kinachekesha eti Mungu wa Mtu mweusi anaongea kiarabu ili akusikilize unatakiwa umuombe kwa kiarabu .Hivi kweli ni Mungu wenu huyo? Wazungu kwa Mungu wao ni Rome Italy na Jerusalem Israel,Waarabu Mecca Saud Arabia, Budha China,Hindu India, Ila Muafrika Mungu wao inategemea katawaliwa na Mkoloni gani. Muafrika ukimwambia Acha utumwa wewe tii mila za kwenu utasikia mimi siabudu Mashetani yaani anawaita Babu zake Mashetani.
Sasa Wazungu na Waarabu wanapigana eti Muafrika wa Kilindii Tanga Anaumia kasahau kabisa kuwa kokote utakapokwenda wewe Muafrika utabaguliwa na kuonekana Mtumwa.
Nadhani kama ingekuwa tunaguswa na vita na machafuko ambayo yanaendelea hata hapa kwa waafrika wenzetu basi pengine mleta mada asingeona ajabu na mguso wa waafrika kwa hizo vita zengine.Ni ajabu mtu / Binadamu anachekelea au anaona havimuhusu sababu wanaouana au kuonewa sio rangi yake au watu wa jamii yake (anasahau wote ni Binadamu)
Ukijali justice na kupenda kutetea Haki popote pale no matter nani anafanya au anafanyiwa vibaya nadhani utakuwa umepiga hatua towards civilization.... (Bali ukibaki na fikra kama zako utakuwa hauna tofauti sana na viumbe vingine kule maporini; ingawa hata hivyo vina-collaborate as species)
Akili Kama hizi ndiyo zilisababisha biashara ya utumwa kustawi.Leo Afrika Ina shida nyingi, wanaoweza kutusaidia ni wazungu,
Kwa kweli hua nawapenda wakija Kama watalii tuu.Mwarabu ni mwarabu tu hata iweje ni kundi moja tu la slave master. Kama uamini nenda leo Uarabuni uone walivyo wabaguzi, wanakuona nani halafu leo ukose usingizi kisa ma slave master yanauwana
Don't get me wrong..., kuna kutetea vita kama Simba na Yanga; Ushabiki usio na Mantiki.., Kama vile wale ni weusi basi hata wakibaka sababu sisi ni weusi basi ni sawa tu..., Au kitabu chetu kinasema wale ni Taifa Teule basi hata wakileta Apartheid ni poa tu..., Au sababu Imani ya wale ni Imani yangu au kila wanayemuua ni Kafiri basi hata wakitupa mabomu na kuua wasio na hatia ni poa tu...; Yaani ukianza kuangalia ni nani anafanya utakuwa sio consisitent (Unatetea watu na sio kutetea Haki)Nadhani kama ingekuwa tunaguswa na vita na machafuko ambayo yanaendelea hata hapa kwa waafrika wenzetu basi pengine mleta mada asingeona ajabu na mguso wa waafrika kwa hizo vita zengine.
Hata wewe unaweza kuwa ccm na ukafurahia mema ya nchi, tofauti ipo hapo.Kwanza tuwe serious! Hivi CCM na SLAVE MASTERS nani alikuwa au nani ni hatari zaidi? Ukumbuke wamemleta Bashite tena ili kwenye uchaguzi watu watekwe,kuteswa na kuuwawa.
Kwa mtazamo huo wa kijumla jumla basi hakuna jamii ambayo sio wahuni.Mimi mwenyewe nashangaa sana ....tatizo waafrica wengi ni maanithi wa akili...nilisha sema mimi nikisikia mmarekani kaua muarabu au muarabu kaua mmarekani kwangu ni furaha tu sina muda wa kuwasikitikia hao wote ni wahuni tu
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Tujifunze kwa wanyama pori...sisi waafrika ni kama maswalaKwa mtazamo huo wa kijumla jumla basi hakuna jamii ambayo sio wahuni.
Kuna wanasiasa kule Twitter likija swala Israel na Wapalestina utajiuliza huyu ndiye anayetaka kuja kutuongoza kama Taifa???Kwa kweli hua nawapenda wakija Kama watalii tuu.
Lakini nawachukia kupita kiasi linapokuja Suala la kutaka kuja kurithi rasilimali za nchi yetu.
Tatizo mpaka leo Waafrika wanauana na kuchukiana Kwa sababu ya Dini za Wageni na Mila za kigeni. Wanasiasa wamekua ndio mawakala Wa Wakoloni Wa leo.
Itafikia Hata walinzi na watakaokwenda kuuza Figo na moyo Wa mwafrika Kwa Matajiri Wa Kigeni watakua ni waafrika Kwa ajili ya kuokoa maisha ya Slave Master.
Siku zinakuja.
Upo sahihi ila tatizo ndio hilo kwamba ushabiki wa vita na ushabiki wa kiimani ndio vilivyo tawala katika hii vita, mleta mada amewasilisha mada yake kwa hoja ambazo sio sahihi ila kikubwa hasa naona anakerwa na huo ushabiki.Don't get me wrong..., kuna kutetea vita kama Simba na Yanga; Ushabiki usio na Mantiki.., Kama vile wale ni weusi basi hata wakibaka sababu sisi ni weusi basi ni sawa tu..., Au kitabu chetu kinasema wale ni Taifa Teule basi hata wakileta Apartheid ni poa tu..., Au sababu Imani ya wale ni Imani yangu au kila wanayemuua ni Kafiri basi hata wakitupa mabomu na kuua wasio na hatia ni poa tu...; Yaani ukianza kuangalia ni nani anafanya utakuwa sio consisitent (Unatetea watu na sio kutetea Haki)
Lakini wewe ukiwa na msimamo wa kutokutetea Maovu nadhani utakuwa consistent yaani hata Shetani akisema jambo ambalo ni la haki utakubaliana nalo sababu ni Haki....
Ila binafsi ninaamini kwamba.....;
In War there are no Winners..., Just Different Level of Causalities...
Basi hatuna haki ya kuwachukia wengine.Tujifunze kwa wanyama pori...sisi waafrika ni kama maswala
Tunawachukia wahalifu na serikali za kihalifu ...sisi waafrica ni kama panya waarabu ni kama paka na mabeberu ni kama mbwa sasa sisi mapanya tunashabikia vipi mbwa au paka tumia akili wacha wachinjane tu ....mfano wewe upo msituni mara akatokea chui anataka kukuua ndipo chatu akamrukia chui wakaanza kupambana wewe utafurahi vita vyao maana hao wote ni adui kwakoBasi hatuna haki ya kuwachukia wengine.
Wanaokufa sio wahalifu tu.Tunawachukia wahalifu na serikali za kihalifu ...sisi waafrica ni kama panya waarabu ni kama paka na mabeberu ni kama mbwa sasa sisi mapanya tunashabikia vipi mbwa au paka tumia akili wacha wachinjane tu ....mfano wewe upo msituni mara akatokea chui anataka kukuua ndipo chatu akamrukia chui wakaanza kupambana wewe utafurahi vita vyao maana hao wote ni adui kwako
Panya kumpenda paka ni upumbavu na panya kumpenda mbwa ni upumbavu pia