Ni jambo la hovyo kushambulia viongozi wa dini nchini wanapozungumzia siasa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa sababu yanawagusa wao wenyewe, ndugu zao na washirika wao pia.

Kuna tatizo gani viongozi wa dini wakisema kuna mambo wanaona hayaendi sawa na yanahitaji kurekebishwa?!

Itakuwa na maana gani kuwa na jukwaa kubwa na sauti yenye nguvu kama huvitumii kusemea watu wanaokuona kama mlezi na kiongozi wao wanaoumia kwa maumivu lakini hawawezi kusema?
 
Imekuwa nchi ya kipagani😀😀
 
Tz na ccm yake Mtu anayehubiri mambo mema na mazuri kwa Nchi yake anafanyiwa mashambulizi kama Mwizi.

Je hawa watapambana na Ushoga, usagaji, Ufisadi na Wizi?
 
Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa sababu yanawagusa wao wenyewe, ndugu zao na washirika wao pia.

Kuna tatizo gani viongozi wa dini wakisema kuna mambo wanaona hayaendi sawa na yanahitaji kurekebishwa?!
kwani si kuna uhuru wa kutoa maoni...waache na wao pia wayatoe kwani ndo mawazo yao.
 
hapana bali kila mtu atumie uhuru wake..haki ile ile wanaotumia viongozi kidini kukosoa ..ndo haki hiyo hiyo inayotumika kuwakosoa
 
Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa sababu yanawagusa wao wenyewe, ndugu zao na washirika wao pia.

Kuna tatizo gani viongozi wa dini wakisema kuna mambo wanaona hayaendi sawa na yanahitaji kurekebishwa?!

Itakuwa na maana gani kuwa na jukwaa kubwa na sauti yenye nguvu kama huvitumii kusemea watu wanaokuona kama mlezi na kiongozi wao wanaoumia kwa maumivu lakini hawawezi kusema?
Kama ambavyo viongozi wakidini wana tumia uhuru wao wa kidemokrasia kukosoa mienendo ya serikali iliyopo madarakani( japo huo uhuru nina mashaka kama upo kwa asilimia zote) nao pia chawa wa serikali kama Steve Mengere na Sheikh Mwaipopo wanatumia uhuru huo huo wa kidemokrasia kukosoa maoni ya hao viongozi wa kidini walio kubali kujiingiza katika ulingo wa kisiasa.

Kila pande inatumia uhuru wake wa kidemokrasia kutoa maoni, serikali iliyopo madarakani haifurahishwi hata kidogo na hayo maoni ya hao viongozi wa kidini juu ya mienendo yao lakini haina budi kukubali uhuru wa kidemokrasia wa kutoa maoni hata yasiyo wafurahisha vivo hivyo viongozi wakidini na wafuasi wake ikiwemo wewe inabidi ukubaliane pia kuwa chawa wa serikali nao wanatoa maoni yao juu ya hao viongozi wa kidini kwa kuzingatia uhuru wa kidemokrasia wa kutoa maoni katika uhuru.

Unapokubali kuingia katika siasa kubaliana na matokeo yake.
 
Kuwataka na kuwatishia wengine wanyamaze kwa sababu wanazungumza usiyotaka kuyasikia ni kutoa maoni??

Acha kujitoa akili na maandishi meengi yasiyo na pointi.

Hapa sio kutoa maoni bali kushambulia mtoa maoni
 
Vitu vinavyoendelea nchi hii ni vya hovyo sana, ni aibu Kwa comedian kama yule Steven mengele kushambulia viongozi wa dini
 
Acha kujitoa akili na maandishi meengi yasiyo na pointi.

Hapa sio kutoa maoni bali kushambulia mtoa maoni
Demokrasia ni ngumu nafahamu japo mnaipenda lakini hakika demokrasia hamuifahamu hata kidogo ila mna mihemko nayo.
 
Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa sababu yanawagusa wao wenyewe, ndugu zao na washirika wao pia.

Kuna tatizo gani viongozi wa dini wakisema kuna mambo wanaona hayaendi sawa na yanahitaji kurekebishwa?!

Itakuwa na maana gani kuwa na jukwaa kubwa na sauti yenye nguvu kama huvitumii kusemea watu wanaokuona kama mlezi na kiongozi wao wanaoumia kwa maumivu lakini hawawezi kusema?
Sidhaani kwamba wanazungumzia siasa, wanawakemea wanasiasa kama wanavyowakemea wahalifu wengine, kwani wanapozungumzia watu waache uzinzi, wizi nk ina maana huwa wanajihusisha na hayo mambo?
 
Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa sababu yanawagusa wao wenyewe, ndugu zao na washirika wao pia.

Kuna tatizo gani viongozi wa dini wakisema kuna mambo wanaona hayaendi sawa na yanahitaji kurekebishwa?!

Itakuwa na maana gani kuwa na jukwaa kubwa na sauti yenye nguvu kama huvitumii kusemea watu wanaokuona kama mlezi na kiongozi wao wanaoumia kwa maumivu lakini hawawezi kusema?
Na watu/taasisi zisizo za dini zikianza kuingilia mambo ya taasisi za dini,itakua sawa tu siyo!?
 
Viongozi wa Dini wanasema kuwa Serikali ifanye HAKI.
 
Back
Top Bottom