Upo sawa ...lakini kumbuka watu hao wanaowanyamazisha hawana mamlaka yoyote ya kiserikali sasa shida nini? chukulia kama maoni tu ya watu wa vijiweni...take it easyMimi nakubali kila mtu atumie uhuru wake wa kidemokrasia ila kutaka wengine wanyamaze haiwezi kuwa uhuru wa kidemokrasia, uhuru wa kidemokrasia ni kutetea haki za wengine kusema hata kama yale wanayosema hupendezwi nayo na sio kuwanyamazisha
Hawawezi kuhamasisha wenye mamlaka kuchukua hatua ovu au za ukandamizaji ?Upo sawa ...lakini kumbuka watu hao wanaowanyamazisha hawana mamlaka yoyote ya kiserikali sasa shida nini? chukulia kama maoni tu ya watu wa vijiweni...take it easy
sasa hayo si mawazo yao kila mtu ana yake ...sjida nini. kwani wao hawana haki ya kutoa maoni??Hawawezi kuhamasisha wenye mamlaka kuchukua hatua ovu au za ukandamizaji ?