gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Serikali ikisema katoliki wabadilishe utaratibu wao wa kulishana mikate kwenye ibada,kanisa liwape waumini sadaka badala ya waumini kulipa kanisa sadaka,waache kupaka majivu kuikaribisha kwaresma kwa kuwa wanaharibu mazingira kwa kukata mitiUnamaanisha nini kuingilia?
Wakisifu loo ni Wazalendo ila wakoonya, nongwa!Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa sababu yanawagusa wao wenyewe, ndugu zao na washirika wao pia.
Kuna tatizo gani viongozi wa dini wakisema kuna mambo wanaona hayaendi sawa na yanahitaji kurekebishwa?!
Itakuwa na maana gani kuwa na jukwaa kubwa na sauti yenye nguvu kama huvitumii kusemea watu wanaokuona kama mlezi na kiongozi wao wanaoumia kwa maumivu lakini hawawezi kusema?
Na Cdm wakitumia uhuru wao huo huo kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao bila kufanya violance yoyote wanabondwa, hapo aah hamsemi!hapana bali kila mtu atumie uhuru wake..haki ile ile wanaotumia viongozi kidini kukosoa ..ndo haki hiyo hiyo inayotumika kuwakosoa
Labda kama watasema na kitimoto kiuzwe pamoja na ng'ombe, wanafunzi wa kike wasivae hijabu mashuleni, vipaza sauti visitumike kwenye azana n.k hapo ndipo hii hoja yako itakuwa na mashiko.Serikali ikisema katoliki wabadilishe utaratibu wao wa kulishana mikate kwenye ibada,kanisa liwape waumini sadaka badala ya waumini kulipa kanisa sadaka,waache kupaka majivu kuikaribisha kwaresma kwa kuwa wanaharibu mazingira kwa kukata miti
Vizuri umeelewa,kujibaraguza hakukusaidiiLabda kama watasema na kitimoto kiuzwe pamoja na ng'ombe, wanafunzi wa kike wasivae hijabu mashuleni, vipaza sauti visitumike kwenye azana n.k hapo ndipo hii hoja yako itakuwa na mashiko.
Usingejibu hilo jibu lako la kitimoto,wanafunzi hijabuWewe huna hoja ya maana hapa.
Kuwaambia watu fulani wanyamaze wasizungumzie siasa ni uhuru wa kidemokrasia?Kama ambavyo viongozi wakidini wana tumia uhuru wao wa kidemokrasia kukosoa mienendo ya serikali iliyopo madarakani( japo huo uhuru nina mashaka kama upo kwa asilimia zote) nao pia chawa wa serikali kama Steve Mengere na Sheikh Mwaipopo wanatumia uhuru huo huo wa kidemokrasia kukosoa maoni ya hao viongozi wa kidini walio kubali kujiingiza katika ulingo wa kisiasa.
Kila pande inatumia uhuru wake wa kidemokrasia kutoa maoni, serikali iliyopo madarakani haifurahishwi hata kidogo na hayo maoni ya hao viongozi wa kidini juu ya mienendo yao lakini haina budi kukubali uhuru wa kidemokrasia wa kutoa maoni hata yasiyo wafurahisha vivo hivyo viongozi wakidini na wafuasi wake ikiwemo wewe inabidi ukubaliane pia kuwa chawa wa serikali nao wanatoa maoni yao juu ya hao viongozi wa kidini kwa kuzingatia uhuru wa kidemokrasia wa kutoa maoni katika uhuru.
Unapokubali kuingia katika siasa kubaliana na matokeo yake.
Mimi nakubali kila mtu atumie uhuru wake wa kidemokrasia ila kutaka wengine wanyamaze haiwezi kuwa uhuru wa kidemokrasia, uhuru wa kidemokrasia ni kutetea haki za wengine kusema hata kama yale wanayosema hupendezwi nayo na sio kuwanyamazisha.hapana bali kila mtu atumie uhuru wake..haki ile ile wanaotumia viongozi kidini kukosoa ..ndo haki hiyo hiyo inayotumika kuwakosoa
So simba,yanga,azam,fm academia,twanga pepeta nk nao wazungumzie tu kuhusu demokrasia!?Mimi nakubali kila mtu atumie uhuru wake wa kidemokrasia ila kutaka wengine wanyamaze haiwezi kuwa uhuru wa kidemokrasia, uhuru wa kidemokrasia ni kutetea haki za wengine kusema hata kama yale wanayosema hupendezwi nayo na sio kuwanyamazisha.
Kwani haziingilii?Na watu/taasisi zisizo za dini zikianza kuingilia mambo ya taasisi za dini,itakua sawa tu siyo!?
Ndio maneno yao sio sheria.Kuwaambia watu fulani wanyamaze wasizungumzie siasa ni uhuru wa kidemokrasia?
Lini arsenal na man u walizungumzia demokrasia kwao au namna serikali inavyoendeshwa licha ya uwongo wa blair na bush kuivamia iraq?..lini Lakers wamezungumzia demokrasia na mwenendo wa serikali licha ya uwongo wa Iraq na vietnam?!Ndiyo.
Wewe kuniambia kaa kimya sio uhuru wa kidemokrasia, ni kushambulia uhuru wangu wa kidemokrasia wa kujieleza, hata kama maneno yako hayatakuwa sheria unaweza kuwa umenitishia kwa namna fulani ikiwa una mamlaka au uko karibu na wenye mamlaka.Ndio maneno yao sio sheria.
Hata mimi naweza kukuambia kaa kimya usicomment chochote lakini maneno yangu sio sheria ya kukuzuia wewe kutoku comment chochote.
Wao kuwambia wengine wakae kimya nao ni uhuru wao kusema na hakuna sheria inawazuia wao kusema hivyo. lakini katika yote hakuna sheria ya kuwanyamazisha watu wasizungumzie hivyo yanabaki tu kuwa maneno ya mkosaji kungelikuwa na sheria ya kuzuia wangekuwa sahihi( japo wasingekuwa sahihi kidemokrasia hivyo ingekuwa sheria batili katika demokrasia)Mimi nakubali kila mtu atumie uhuru wake wa kidemokrasia ila kutaka wengine wanyamaze haiwezi kuwa uhuru wa kidemokrasia, uhuru wa kidemokrasia ni kutetea haki za wengine kusema hata kama yale wanayosema hupendezwi nayo na sio kuwanyamazisha.
Serikali ya Blair kuvamia Iraq inawaathiri vipi Arsenal au Man U? Huoni Arsenal wanavaa Visit Rwanda pamoja na Rwanda kuivamia Congo??Lini arsenal na man u walizungumzia demokrasia kwao au namna serikali inavyoendeshwa licha ya uwongo wa blair na bush kuivamia iraq?..lini Lakers wamezungumzia demokrasia na mwenendo wa serikali licha ya uwongo wa Iraq na vietnam?!
Mahakama pekee tena ya kidemokrasia ndio itakuwa na haki ya kufunga kinywa chako na si maneno yatokayo katika kinywa changu.Wewe kuniambia kaa kimya sio uhuru wa kidemokrasia, ni kushambulia uhuru wangu wa kidemokrasia wa kujieleza, hata kama maneno yako hayatakuwa sheria unaweza kuwa umenitishia kwa namna fulani ikiwa una mamlaka au uko karibu na wenye mamlaka.
We jamaa popoma!!..Serikali ya Blair kuvamia Iraq inawaathiri vipi Arsenal au Man U? Huoni Arsenal wanavaa Visit Rwanda pamoja na Rwanda kuivamia Congo??
Lakers waliathirika vipi na Marekani kuivamia Iraq ?
Halafu Arsenal, Man U na Lakers zinamilikiwa na wanahisa, hao ndio wenye mamlaka na timu zao na wenye kuamia kipi wanasapoti na kipi hawasapoti. Wanasiasa waliposema kuwa shoga ni haki ya mtu yoyote, wamiliki wa hizo timu walikubaliana na jambo hilo na wanahimiza viwanjani kuheshimu haki za mashoga.