sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wewe ni mtaalam wa elimu au unajua chochote juu ya utengenezaji mitaala?Elimu imeshachezewa sana poor future Tanzania
Unafikiri PhD inapatina kiurahisi hivyo?View attachment 3191199
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto kujifunza.
Bado PhD kutoka university of dar es salaam na sanamu lake.
Nchi gani hiyo mtoto wa miaka 15 anapaisha ndege?Huwezi kuta wenzetu wanawafundisha haya watoto wao. Unashangaa mtoto wa miaka 15 anapaisha ndege, anatengeneza kitu cha maana, huku kwetu kuna watu wanawapigia debe watu wapewe PhD za heshima. Where's the future of our countries!?
Kama unaona ni rahisi tengeneza na wewe million 500 kwa mwezi mmoja.Unafikiri PhD inapatina kiurahisi hivyo?
Wapi hawasomi elimu ya maandishi na kukariri.Elimu ya maandishi na kukarir bure kabisa
Huwezi kuta wenzetu wanawafundisha haya watoto wao. Unashangaa mtoto wa miaka 15 anapaisha ndege, anatengeneza kitu cha maana, huku kwetu kuna watu wanawapigia debe watu wapewe PhD za heshima. Where's the future of our countries!?
Hapo imechezewaje Numbisa?Elimu imeshachezewa sana poor future Tanzania
Google, Kimberly Anyadike rubani wa kike aliyepaisha ndege akiwa na umri mdogo zaidi (15). Tafuta pia story ya kijana aliyetengeneza saa akiwa mdogo. Wenzetu wanawatengeneza wabobevu kwenye masuala ya maanaNchi gani hiyo mtoto wa miaka 15 anapaisha ndege?
Kwa ufahamu wangu duniani kote chombo cha moto anaruhusiwa mtu mwenye umri kuanzia 18 yrs.
Kama ni hao wa namna hiyo mbona hata Tanzania wapo wengi sana talented pupils.G
Google, Kimberly Anyadike rubani wa kike aliyepaisha ndege akiwa na umri mdogo zaidi (15). Tafuta pia story ya kijana aliyetengeneza saa akiwa mdogo. Wenzetu wanawatengeneza wabobevu kwenye masuala ya maana
Mtoto wako anamsoma Diamond Platnumz aka Simba kama mfano wa mwanamuziki mwenye mafanikio. Either unapenda au haupendi.Kama kweli wamezingua mtu ameenda kucheck Muvi Kwa Didy Leo anakuwa kioo Cha Jamii. Mashoga na Walawiti watakuwa wamejaa uko wizarani au hawana Habari na mambo ya ulimwengu wa Leo.
Hiyo mwingine juzi tu hapa anatunza mashoga kwenye party .
Sina shida na huyo Mh. Waziri
Bora hata wangeweka Mrisho Mpoto. Lady JD
Kwa serikali yoyote makini duniani, lazima wafanye hivi.Kwa serikali ya bongo inawezekana