Ni jambo la kufurahisha Diamond Platnumz kuingizwa kwenye mtaala wa elimu ya Tanzania. Bado kupewa PhD ya heshima sasa

Kama ni kweli hatutoboi.
Huyu anayeimba nyege nyege nyegezi hiyo nayo ni Talent ya kuigwa? Mara paka mate iteleze,
Halafu aliyeandika ana taarifa sahihi juu ya Diamond karanga? Anawajua wahindi walichofanya? Na iliishia wapi?.
Shilole shishi baby. Ngoja tuandae vibinti vya kuiga shi shi baby. Sasa wasije kusema wanafunzi ni nyara za serkali 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wafundishe pia jinsi ya kutumia hizo talent mpaka kupata pesa na jinsi ya kuitumia hiyo pesa kwa nidhamu na jinsi ya kuiwekeza hiyo pesa iongezeke.

Sio kuwaaminisha tu kuwa talent inalipa bila kuwafundisha kivipi, Wafanyaje.

Elimu ya Tanzania ni BLAH! BLAH! BLAH,!

Kuna mjomba yangu mmoja alisoma miaka ya 70's njia za kuzuia umasikini Tanzania sasa akawa anashangaa na mtoto wake naye anasoma njia zile zile hadi hii leo 🙄, sasa anajiuliza inamaanisha tunakariri tu ila hakuna hatua yeyote inachukuliwa? mana mambo ni yaleyale - Poor governance, Debt's whatever.

Usikute mwanafunzi atakayesoma mwaka 2035 nayeye atasoma mbinu zile zile alizozisoma mjomba mwaka 1970's za kupambana na umasikini - No measures are taken hence Nothing changes.

Kuwa na maarifa tu kwenye daftari na kichwani bila kuyatumia ili kuleta mabadiriko ni tatizo lingine.

Ushauri: Mtaala ubadilike, vijana wafundishwe uwekezaji haswa kwenye eneo la biashara na teknolojia na sio blah! blah! Sijui binadamu alitokana na nyani, kinjektile alikua mchawi, mara Ujue mwili wa panzi such kind of Trash.
 
Wafundishe pia jinsi ya kutumia hizo talent mpaka kupata pesa na jinsi ya kuitumia hiyo pesa kwa nidhamu na jinsi ya kuiwekeza hiyo pesa iongezeke.

Sio kuwaaminisha tu kuwa talent inalipa bila kuwafundisha kivipi, Wafanyaje.

Elimu ya Tanzania ni BLAH! BLAH! BLAH,!

Kuna mjomba yangu mmoja alisoma miaka ya 80's njia za kuzuia umasikini Tanzania sasa akawa anashangaa na mtoto wake naye anasoma njia zile zile hii leo, sasa akawa anashangaa inaaanisha tunakariri tu ila hakuna hatua yeyote inachukuliwa mana mambo ni yaleyale - Poor governance, Debt's whatever.

Usikute mwanafunzi atakayesoma mwaka 2035 nayeye atasoma mbinu zile zile alizozisoma mjomba mwaka 1970's za kupambana na umasikini - No measures are taken hence Nothing changes.

Kuwa na maarifa tu kwenye daftari na kichwani bila kuyatumia ili kuleta mabadiriko ni tatizo lingine.

Ushauri: Mtaala ubadilike, vijana wafundishwe uwekezaji haswa kwenye eneo la biashara na teknolojia na sio blah! blah! Sijui binadamu alitokana na nyani, kinjektile alikua mchawi, mara Ujue mwili wa panzi such kind of Trash.
Sasa unachoshauri mbona ndio kimewekwa kwenye kitabu?

Au una tatizo la uelewa?
 
Kama ni kweli hatutoboi.
Huyu anayeimba nyege nyege nyegezi hiyo nayo ni Talent ya kuigwa? Mara paka mate iteleze,
Halafu aliyeandika ana taarifa sahihi juu ya Diamond karanga? Anawajua wahindi walichofanya? Na iliishia wapi?.
Shilole shishi baby. Ngoja tuandae vibinti vya kuiga shi shi baby. Sasa wasije kusema wanafunzi ni nyara za serkali 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Diamond ni msanii aliyefanikiwa zaidi kisanaa na kiuchumi tangu Tanzania iumbwe, acha watoto wajifunze kutoka kwake kama nyinyi watu wazima hamuoni la kujifunza kwa choyo zenu.
 
Acha kuanza Watoto kujifunza ujinga . PERIOD
 
Sasa unachoshauri mbona ndio kimewekwa kwenye kitabu?

Au una tatizo la uelewa?
Huenda ukawa una promo hicho kitabu - sishangai.

Haya naomba nionyeshe sehemu ambayo huyo muandishi amechambua kwa kina jinsi ya kutumia Talent yako kutengeneza pesa ikiwemo kutafuta shows.

Lakini maelekezo ya jinsi ya kuitumia pesa kwa nidhamu kama alivyofanya FA.

Na maelekezo ya namna ya kuiwekeza hiyo pesa maeneo mengine kama alivyofanya Diamond Platnumz kufungua Wasafi TV.

Ukinionyesha nakutumia laki1 hapahapa, Mashahidi wachangiaji.
 
Ndugu Sinza Pazuri inabidi ujifunze nini maana ya Mtaala kabla ya kuja kuandika upumbavu. Hakuna mtaala wa somo lolote Tanzania unaoelekeza wanafunzi wajifunze kuhusu mtu fulani. Wewe itakuwa umeona kitabu chenye mfano wa hao wasanii ukakurupuka kwa kudhani huo ndo mtaala.
 
Halafu kingine usichanganye wizara ya Elimu na utashi wa Muandishi.
 
Kama ni hao wa namna hiyo mbona hata Tanzania wapo wengi sana talented pupils.

Nimekwambia nitajie primary school yoyote duniani inayofundisha watoto kurusha ndege?
Yan wewe, ulianza kusema hakuna under 18 anaruhuusiwa kurusha ndege 😀 nimekupa. Umegeuza kibao, em fuatilia mitaala ya mataifa ya ulaya, U.S.A, Canada uone wenzetu wapo Dunia yao. Mwisho wa siku mtu anakuja kuvumbua kitu ambacho amekikalia miaka na miaka vizuri tu
 
Huwezi kuta wenzetu wanawafundisha haya watoto wao. Unashangaa mtoto wa miaka 15 anapaisha ndege, anatengeneza kitu cha maana, huku kwetu kuna watu wanawapigia debe watu wapewe PhD za heshima. Where's the future of our countries!?
Meanwhile in china👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Nanukuu mrisho mpoto kwenye nyimbo yake moja alisema ya kwamba wenzetu wamejifungia ndani wanawaza jinsi ya sayari ya mars sie tupo kwenye ponograph cafe tukiangalia jinsi mia khalifa akivyolisaka rumba na wanaume wawili
 
Kama ulipita shule za Tanzania nawe ni mdau wa elimu
Wewe ni mtaalam wa elimu au unajua chochote juu ya utengenezaji mitaala?
Saint unamuwekaje shilole kwenye kutoa mfano wa kufundishia mtu anayejianika ovyo,ukitype shilole unakutana na picha zake nyonyo nje nje,domokaya nae mzee wa kuongeza single mothers duniani ana faida gani kwenye mafundisho au ndo kusema tushaka tamaa kufanikiwa kwa kusoma kwa bidii badala yake watoto wavumbue vipaji na kutajirika mapema?
Hapo imechezewaje Numbisa?
 
View attachment 3191199

Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto kujifunza.

Bado PhD kutoka university of dar es salaam na sanamu lake.
...and also...
 
Samata vipi hafai kuingizwa humo?
 
Yaani kila anaekua maarufu apewe honorary phd?
Ndio maana wasomi nchi hii wanakata tamaa, uzalendo wanaweka pembeni.

Japokuwa ilibaki level moja nipate phd , naelewa msoto wake. Ni kuwatukana wasomi wanaoingia darasani

Elimu inachezewa sana tz, too much politics
 
Mpka drugs dealer wanaingizwa kwenye mitala ya elimu???
 
Huyu Zuwena si ndo shilole? Sina tatizo binafsi na huyo dada ila kwa historia yake mitandaoni na tabia binafsi za kijamii anazozionyesha sioni kama ni mtu sahihi wa kumuweka hapo watoto wamfuatilie kama role model.
 
View attachment 3191199

Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto kujifunza.

Bado PhD kutoka university of dar es salaam na sanamu lake.

Hilo ni kawaida sana. Hata enzi zetu tuliwachambua akina Malijani Rajab kwenye kiswahili.
 
Back
Top Bottom