Sasa unachoshauri mbona ndio kimewekwa kwenye kitabu?Wafundishe pia jinsi ya kutumia hizo talent mpaka kupata pesa na jinsi ya kuitumia hiyo pesa kwa nidhamu na jinsi ya kuiwekeza hiyo pesa iongezeke.
Sio kuwaaminisha tu kuwa talent inalipa bila kuwafundisha kivipi, Wafanyaje.
Elimu ya Tanzania ni BLAH! BLAH! BLAH,!
Kuna mjomba yangu mmoja alisoma miaka ya 80's njia za kuzuia umasikini Tanzania sasa akawa anashangaa na mtoto wake naye anasoma njia zile zile hii leo, sasa akawa anashangaa inaaanisha tunakariri tu ila hakuna hatua yeyote inachukuliwa mana mambo ni yaleyale - Poor governance, Debt's whatever.
Usikute mwanafunzi atakayesoma mwaka 2035 nayeye atasoma mbinu zile zile alizozisoma mjomba mwaka 1970's za kupambana na umasikini - No measures are taken hence Nothing changes.
Kuwa na maarifa tu kwenye daftari na kichwani bila kuyatumia ili kuleta mabadiriko ni tatizo lingine.
Ushauri: Mtaala ubadilike, vijana wafundishwe uwekezaji haswa kwenye eneo la biashara na teknolojia na sio blah! blah! Sijui binadamu alitokana na nyani, kinjektile alikua mchawi, mara Ujue mwili wa panzi such kind of Trash.
Ngoja tuoneKwa serikali yoyote makini duniani, lazima wafanye hivi.
Diamond ni msanii aliyefanikiwa zaidi kisanaa na kiuchumi tangu Tanzania iumbwe, acha watoto wajifunze kutoka kwake kama nyinyi watu wazima hamuoni la kujifunza kwa choyo zenu.Kama ni kweli hatutoboi.
Huyu anayeimba nyege nyege nyegezi hiyo nayo ni Talent ya kuigwa? Mara paka mate iteleze,
Halafu aliyeandika ana taarifa sahihi juu ya Diamond karanga? Anawajua wahindi walichofanya? Na iliishia wapi?.
Shilole shishi baby. Ngoja tuandae vibinti vya kuiga shi shi baby. Sasa wasije kusema wanafunzi ni nyara za serkali 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Acha kuanza Watoto kujifunza ujinga . PERIODDiamond ni msanii aliyefanikiwa zaidi kisanaa na kiuchumi tangu Tanzania iumbwe, acha watoto wajifunze kutoka kwake kama nyinyi watu wazima hamuoni la kujifunza kwa choyo zenu.
Huenda ukawa una promo hicho kitabu - sishangai.Sasa unachoshauri mbona ndio kimewekwa kwenye kitabu?
Au una tatizo la uelewa?
Yan wewe, ulianza kusema hakuna under 18 anaruhuusiwa kurusha ndege 😀 nimekupa. Umegeuza kibao, em fuatilia mitaala ya mataifa ya ulaya, U.S.A, Canada uone wenzetu wapo Dunia yao. Mwisho wa siku mtu anakuja kuvumbua kitu ambacho amekikalia miaka na miaka vizuri tuKama ni hao wa namna hiyo mbona hata Tanzania wapo wengi sana talented pupils.
Nimekwambia nitajie primary school yoyote duniani inayofundisha watoto kurusha ndege?
Meanwhile in china👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Huwezi kuta wenzetu wanawafundisha haya watoto wao. Unashangaa mtoto wa miaka 15 anapaisha ndege, anatengeneza kitu cha maana, huku kwetu kuna watu wanawapigia debe watu wapewe PhD za heshima. Where's the future of our countries!?
Saint unamuwekaje shilole kwenye kutoa mfano wa kufundishia mtu anayejianika ovyo,ukitype shilole unakutana na picha zake nyonyo nje nje,domokaya nae mzee wa kuongeza single mothers duniani ana faida gani kwenye mafundisho au ndo kusema tushaka tamaa kufanikiwa kwa kusoma kwa bidii badala yake watoto wavumbue vipaji na kutajirika mapema?Wewe ni mtaalam wa elimu au unajua chochote juu ya utengenezaji mitaala?
Hapo imechezewaje Numbisa?
...and also...View attachment 3191199
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto kujifunza.
Bado PhD kutoka university of dar es salaam na sanamu lake.
Samata vipi hafai kuingizwa humo?View attachment 3191199
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto kujifunza.
Bado PhD kutoka university of dar es salaam na sanamu lake.
Duniani kote? Endelea kujivunia ujinga wako.Kwa ufahamu wangu duniani kote chombo cha moto anaruhusiwa mtu mwenye umri kuanzia 18 yrs.
Yaani kila anaekua maarufu apewe honorary phd?View attachment 3191199
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi wetu darasani. Kwenye somo jipya la civic and moral diamond ametumika sana kama mfano mzuri wa watoto kujifunza.
Bado PhD kutoka university of dar es salaam na sanamu lake.
View attachment 3191199