Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

Mradi ni kada wa ccm hamna shida. Huko hakunaga msafi. Wote wezi tu
 
Pengine Royal tour ikiisha litafanyika jambo
Utetezi wako ni dhaifu mno. Kwa mfano nchi ingekuwa imevamiwa, tungesubiri Rais amalize tour ndipo aje kufanya maamuzi?

Nini maana ya Rais kuwa na wasaidizi? Waziri mkuu na waziri wa tamisemi wanafanya kazi gani kama hadi kila kitu anatakiwa afanye Rais? Vipi makamu wa Rais?
 
Na wewe unaichukulia siriasi comment yangu.
 
Acha roho mbaya mwenzako akifukuzwa kazi wewe unapata faida gani?wewe hujawai kuiba
 
Mzee kwa sheria za utumishi hivi sasa huwezi kumsimamisha mtumishi kama ushahidi haujakamilika na hukumu haijatolewa. Hapo anaendelea kulipwa stahili zake zote mpaka huku rasmi itakapotolewa.
 
Wizara imemshinda huyo ODO wenu,hata temeke naye jokate naona ana kasirika kasirika tu.

Hawa kuna sehemu ziliwafaa Ili watabasamu muda wote,Sasa mnawapa sekta za kukunja sura na kuonana wabaya mnategemea nn.
Do ye yupoyupo tu
 
Mzee kwa sheria za utumishi hivi sasa huwezi kumsimamisha mtumishi kama ushahidi haujakamilika na hukumu haijatolewa. Hapo anaendelea kulipwa stahili zake zote mpaka huku rasmi itakapotolewa.
Basi waibe tu
 
Basi waibe tu
Kuiba ni jambo lingine na kuthibitika kuwa ni kweli ameiba ni suala lingine. Hizi hukumu za kukurupuka ndio mama samia alijikuta ana wafungwa zaidi ya 800 waliobambikiziwa kesi.
 
Kama wakiiba kura ni okay, fedha na mabati si vyao tu?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…