GE2025 Ni jeuri, kiburi, au ujinga kwa Samia kutojifunza toka kwa Magufuli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1761682690808.png

Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan anahitaji msaada tena wa bure na haraka. Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu.

Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga kumuita Mungu asiwakaripie.

Ni ajabu ni kwanini kiumbe wake, yaani Samia hakujifunza toka kwake kuhusiana na utukufu uchwara. Je, anaweza kuishia alipoishia Magufuli au ni kutokana na ujinga na uwezo mdogo wa kusoma alama za nyakati?
Najiuliza na kuulilza kimya kimya na kwa masikitiko na mshangao.
 
View attachment 3495464
Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan
Hebu tuwe wakweli, hakujiteua, aliteuliwa na Mkutano Mkuu wa CCM tena ukiwa live mubashara na sote tukashuhudia
anahitaji msaada tena wa bure na haraka.
Hili ni kweli, wote wenye uwezo wa kusaidia, tujitokeze kusaidia, kila mmoja wetu kwenye eneo lake.
Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu.
Hili tumesaidia Thread 'Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!' Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga kumuita Mungu asiwakaripie.
Hapa pia tulisaidia Thread 'Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe' Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe
Ni ajabu ni kwanini kiumbe wake, yaani Samia hakujifunza toka kwake kuhusiana na utukufu uchwara. Je, anaweza kuishia alipoishia Magufuli
Magufuli aliitwa Mungu, hakukanusha Post in thread 'Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?' Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?
Samia hajawahi kuitwa Mungu.
Najiuliza na kuulilza kimya kimya na kwa masikitiko na mshangao.
Usiishie kujiuliza kimya kimya na kwa masikitiko na mshangao, kama una uwezo kusaidia, saidia
Kama mimi ninavyo saidia kuelimisha umma na kumuelimisha
Hivyo anajua kila kitu ni yeye tuu
P.
 
Hebu tuwe wakweli, hakujiteua, aliteuliwa na Mkutano Mkuu wa CCM tena ukiwa live mubashara na sote tukashuhudia

Hili ni kweli, wote wenye uwezo wa kusaidia, tujitokeze kusaidia, kila mmoja wetu kwenye eneo lake.

Hili tumesaidia Thread 'Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!' Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!

Hapa pia tulisaidia Thread 'Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe' Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe

Magufuli aliitwa Mungu, hakukanusha Post in thread 'Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?' Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?
Samia hajawahi kuitwa Mungu.

Usiishie kujiuliza kimya kimya na kwa masikitiko na mshangao, kama una uwezo kusaidia, saidia
Kama mimi ninavyo saidia kuelimisha umma na kumuelimisha
Hivyo anajua kila kitu ni yeye tuu
P.
P unakosea sana tena sana..Samia ni mzigo kwa hili taifa na sijui alifikaje kwenye hiyo level,Kikwete na genge lake wanamtumia kufisadi hii nchi
 
Kumtwisha JK peke yake si sawa, kama hakuwa na sifa na vigezo, JPM alikuwa na nguvu/madaraka/uwezo wa kumtoa 2020, kinyume chake alimsifia kwa uhodari wake na kusema ile hofu aliyokuwa nayo 2015 imemuisha na ameridhika anaweza na ni madhbuti
 
kutokana na ujinga na uwezo mdogo wa kusoma alama za nyakati?
Ongeza na ulimbukeni.

Kwa uwezo wake, hafai kuendesha nchi. Lazima nchi iingie kwenye matatizo makubwa.

Vitu na mambo ya nyakati hizi yanamshinda. Je mipango ya kimkakati? Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom