The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wewe una akili sana#5 kiukweli paved the way for all of this. Tulishangalia kuwa na benevolent dictator and now we have a despot
Hebu tuwe wakweli, hakujiteua, aliteuliwa na Mkutano Mkuu wa CCM tena ukiwa live mubashara na sote tukashuhudiaView attachment 3495464
Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan
Hili ni kweli, wote wenye uwezo wa kusaidia, tujitokeze kusaidia, kila mmoja wetu kwenye eneo lake.anahitaji msaada tena wa bure na haraka.
Hili tumesaidia Thread 'Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!' Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu.
Hapa pia tulisaidia Thread 'Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe' Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiweNi ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga kumuita Mungu asiwakaripie.
Magufuli aliitwa Mungu, hakukanusha Post in thread 'Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?' Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?Ni ajabu ni kwanini kiumbe wake, yaani Samia hakujifunza toka kwake kuhusiana na utukufu uchwara. Je, anaweza kuishia alipoishia Magufuli
Usiishie kujiuliza kimya kimya na kwa masikitiko na mshangao, kama una uwezo kusaidia, saidiaNajiuliza na kuulilza kimya kimya na kwa masikitiko na mshangao.
Na hio legacy inaweza tusumbua sana.#5 kiukweli paved the way for all of this. Tulishangalia kuwa na benevolent dictator and now we have a despot
P unakosea sana tena sana..Samia ni mzigo kwa hili taifa na sijui alifikaje kwenye hiyo level,Kikwete na genge lake wanamtumia kufisadi hii nchiHebu tuwe wakweli, hakujiteua, aliteuliwa na Mkutano Mkuu wa CCM tena ukiwa live mubashara na sote tukashuhudia
Hili ni kweli, wote wenye uwezo wa kusaidia, tujitokeze kusaidia, kila mmoja wetu kwenye eneo lake.
Hili tumesaidia Thread 'Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!' Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
Hapa pia tulisaidia Thread 'Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe' Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe
Magufuli aliitwa Mungu, hakukanusha Post in thread 'Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?' Kosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?
Samia hajawahi kuitwa Mungu.
Usiishie kujiuliza kimya kimya na kwa masikitiko na mshangao, kama una uwezo kusaidia, saidia
Kama mimi ninavyo saidia kuelimisha umma na kumuelimisha
Hivyo anajua kila kitu ni yeye tuu
- Thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
- Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
- Thread 'Japo hakuna ajuaye sababu za kuitwa Kaka, isipokuwa YEYE, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akaitwa. Dada ukisikia Hii usipuuze!' Japo hakuna ajuaye sababu za kuitwa Kaka, isipokuwa YEYE, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akaitwa. Dada ukisikia Hii usipuuze!
- Thread 'Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...' Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...
P.
Kumtwisha JK peke yake si sawa, kama hakuwa na sifa na vigezo, JPM alikuwa na nguvu/madaraka/uwezo wa kumtoa 2020, kinyume chake alimsifia kwa uhodari wake na kusema ile hofu aliyokuwa nayo 2015 imemuisha na ameridhika anaweza na ni madhbutiP unakosea sana tena sana..Samia ni mzigo kwa hili taifa na sijui alifikaje kwenye hiyo level,Kikwete na genge lake wanamtumia kufisadi hii nchi
Ongeza na ulimbukeni.kutokana na ujinga na uwezo mdogo wa kusoma alama za nyakati?