Ni JF Member gani ambaye hutamani Kufa kabla hujamuona au kumfahamu mubashara?

MIMI NAPENDA USINIKUBALI HARAKA. BASI ACHA NIANZE KUKUTONGOZA KAMA WEWE UMENISHINDWA.
Naskia haupendi mwandiko mkubwa.

Hicho ni kipimo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mi sipendi danadana kama ndio iwe ndio kama hapana iwe hapana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo umeandika mkubwa ili nikukimbie....imekula kwako bado nipo na wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daby ila unakuja na vinywaji na chakula chenu
[emoji3][emoji3], sijajua nani kati yangu na Khantwe amekufanya ufanye maamuzi magumu hivyo.

Mi sipendi danadana kama ndio iwe ndio kama hapana iwe hapana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo umeandika mkubwa ili nikukimbie....imekula kwako bado nipo na wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, halafu kila siku nasahau... Khantwe maana yake ni nin?
 
Cephalocaudo

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Rejeeni tu kicha cha habari kisha mtoe mchango wenu.

Kwa kuanzia tu mimi natamani hata kabla sijafa niwajue au nionane na hawa members watatu tu kwani nawakubali mno.

  1. Chachu Ombara
  2. Interest
  3. RUCCI
Asateni.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Unaweza kukuta unayehangaika uonane nae ni mama/baba mkwe au mkeo/mumeo au baba mwenye nyumba
 
Labda le supa bilionea le baharia le maprosoo mutu ya watu le mutuz a.k.a willy mapenzi
 
Mmmh!!!! Eeeh mungu kabla sijafa naomba niwe tayari nimejiaanda kufika kwenye kiti cha enzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…