nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sipendi danadana kama ndio iwe ndio kama hapana iwe hapana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo umeandika mkubwa ili nikukimbie....imekula kwako bado nipo na wewe!MIMI NAPENDA USINIKUBALI HARAKA. BASI ACHA NIANZE KUKUTONGOZA KAMA WEWE UMENISHINDWA.
Naskia haupendi mwandiko mkubwa.
Hicho ni kipimo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
daby ila unakuja na vinywaji na chakula chenuHivi kweli unanipenda? Ujue nilijua unanitania... niambie kama vipi ukikutana na miss chagga twende wote kabisa ukanitambulishe
Huo uke wenza sasa!!
sawa mke mwenza usijali
[emoji3][emoji3], sijajua nani kati yangu na Khantwe amekufanya ufanye maamuzi magumu hivyo.daby ila unakuja na vinywaji na chakula chenu
Mi sipendi danadana kama ndio iwe ndio kama hapana iwe hapana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo umeandika mkubwa ili nikukimbie....imekula kwako bado nipo na wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
khantwe .. wewe ningekuambia uje na pesa[emoji3][emoji3], sijajua nani kati yangu na Khantwe amekufanya ufanye maamuzi magumu hivyo.
Hahaha, halafu kila siku nasahau... Khantwe maana yake ni nin?
Nitakwambia tukionana[emoji13] [emoji13][emoji3][emoji3], sijajua nani kati yangu na Khantwe amekufanya ufanye maamuzi magumu hivyo.
Hahaha, halafu kila siku nasahau... Khantwe maana yake ni nin?
Bila shakaVipi mkubwa, ntabahatika?
invest what you are willing to lose
Mzee mzima wewe si hata sasa hivi ukitaka kuniona unaniona tu kiteknolojia zaidi [emoji3]
alafu swahiba hizi avatar zako.. mm zinanimaliza kabisaa, ebu punguza makali kiduchuMshana Jr
😀😀😀 Unaweza kukuta unayehangaika uonane nae ni mama/baba mkwe au mkeo/mumeo au baba mwenye nyumbaRejeeni tu kicha cha habari kisha mtoe mchango wenu.
Kwa kuanzia tu mimi natamani hata kabla sijafa niwajue au nionane na hawa members watatu tu kwani nawakubali mno.
Asateni.
Rejeeni tu kicha cha habari kisha mtoe mchango wenu.
Kwa kuanzia tu mimi natamani hata kabla sijafa niwajue au nionane na hawa members watatu tu kwani nawakubali mno.
Asateni.