Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

Pinkman

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
712
Reaction score
1,571
Wakuu kwema?

Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini.

Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni.

Hawa watu wa namna hii ni majibu gani yanawafaa wakuu?
 
Piga Kimya
 
Dah huyo wala usiblock namba yake, save tena kwa herufi kubwa na muweke hata mlio wa peke yake kwa calls na sms.

Ila sasa, apige au kutuma sms..usipokee simu zake wala kujibu sms zake.

Move on sijui kama unaelewa endelea na life lako agiza juice na popcorn huku unatikisa miguu kama mzee wa vyombo, K vant ndogo ya vijana unapiga na choma nusu..

Unasepa na maji kubwa kupooza engine, unalala usingizi mororo kabisa.

Apambane na hali yake, mambo ni mengi mjini humu ww upate stress za nini tena??
 
Wakuu kwema?
Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini.
Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni.
Hawa watu wa namna hii ni majibu gani yanawafaa wakuu?
Wala usijibu chochote. Delete block.. go out enjoy your life
 
Kama ukiweza fanya kama mimi itakusaidia sana.

Nilikuwa na mdada flani wa babati mtto kakamilika kila kitu, wenzangu wa shy na mwnza mnajua namna tunavyo data na piss nyeupe... Tumeishi miez 4 safi bila chokochoko kwa mapenzi ya nguvu sana.

tulkuwa tunasoma chuo xx so ikafika time ya likizo, kimbembe kikaanzia huko baada ya kuondoka, sometime nikimtumia txt hajib aknijib short dizain kama mtu ambae namsumbua, simu zangu ndo zikawa hazipokelewi kwa madai home anabanwa sana na anakuwa busy.

Rfk ake mmoja nilikuwa nae cross akanitonya kuwa kule yuko busy na mmpenz wake so natafutiwa taiz la kupigwa tukio.

Asee kitu nilifanya sikuwahi mtafuta wa kujib chchte toka kwake. Kuna time alikuwa ananichek kinafki na kujipigsha simu me nazicheck2 siku zimesonga mpka time la kurudi chuo muhuni bado niko buyu tumefika chuo fresh bado nimekaza,,, imepitaka kama one week masomo bado hayajachangamka daily ananicheck ili tuonane niko zangu buyu final anakuja niona niko na dem mwingine tena mkali zaidi yake asee alijiona fala sana coz kwa mapenz tuliyokuwa nayo chuo yalkuwa moto sana asinge weza amini kama ningempotezea na vile.

Nilkuwa mnyonge kwake ila hakuamini nashkuru aibu zilikiwa kwake coz za chini naskia alikuwa anatamba kwa shoga zake kuwa siwez muacha(kanishika pabaya).
Mkaushie kbx haijalish unamkubari kiasi gani kabla hajakulipua kwa tukio.
 
Wakuu kwema?
Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini.
Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni.
Hawa watu wa namna hii ni majibu gani yanawafaa wakuu?
Hujibu unakaa kimya tu
 
Kama ukiweza fanya kama mimi itakusaidia sana.
Nilikuwa na mdada flani wa babati mtto kakamilika kila kitu, wenzangu wa shy na mwnza mnajua namna tunavyo data na piss nyeupe... Tumeishi miez 4 safi bila chokochoko kwa mapenzi ya nguvu sana. tulkuwa tunasoma chuo xx so ikafika time ya likizo, kimbembe kikaanzia huko baada ya kuondoka, sometime nikimtumia txt hajib aknijib short dizain kama mtu ambae namsumbua, simu zangu ndo zikawa hazipokelewi kwa madai home anabanwa sana na anakuwa busy. Rfk ake mmoja nilikuwa nae cross akanitonya kuwa kule yuko busy na mmpenz wake so natafutiwa taiz la kupigwa tukio. Asee kitu nilifanya sikuwahi mtafuta wa kujib chchte toka kwake. Kuna time alikuwa ananichek kinafki na kujipigsha simu me nazicheck2 siku zimesonga mpka time la kurudi chuo muhuni bado niko buyu tumefika chuo fresh bado nimekaza,,, zimepitaka kama one week masomo bado hayajachangamka daily ananicheck ili tuonane niko zangu buyu final anakuja niona niko na dem mwingine tena mkali zaidi yake asee alijiona fala sana coz kwa mapenz tuliyokuwa nayo chuo yalkuwa moto sana asinge weza amini kama ningempotezea na vile nilkuwa mnyonge kwake ila hakuamini nashkuru aibu zilikiwa kwake coz za chini naskia alikuwa anatamba kwa shoga zake kuwa siwez muacha(kanishika pabaya).
Mkaushie kbx haijalish unamkubari kiasi gani kabla hajakulipua kwa tukio.

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
Hivi humo vyuoni hamfundishwi namna ya kuandika!?
 
Wakuu kwema?
Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini.
Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni.
Hawa watu wa namna hii ni majibu gani yanawafaa wakuu?
Kwangu naona jibu komavu kabisa ni kusema kumjibu tu. Asante kisha ukaa kimya unaendelea na maisha.
 
Mpe ili jibu mzee “Asante sana nenda kwa wengine nao wakakutumie kama nilivyokutumia mimi” alafu ukishaandika hivyo piga kimyaa akikujibu we piga kimyaa tu usimblock wala kufanya chochote, akikupigia simu pokea msikilize anasema nini akikutumia msj husijibu chochote utakuja kunishukuru baadae
 
Back
Top Bottom