pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
We unashindana na mwanamke atakutesa sana.
Mi nilitumiwa sms hii,
"Kuanzia leo usinitafute wala usinipigie simu na namba yangu ifute "
Nikamuuliza kwa nini akajibu nimeamua tu
Kumbe alikuwa anataka kuolewa ila hakunambia
Nilikaa kimya alikuja kunitafuta baada ya miaka miwili ya ndoa akinisimulia mume wake, anavyomtesa na maisha ya ndoa yalivyo magumu sasa hivi yeye ndo ananiambia mi naringa maana simpi ushirikiano.