Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

Kabisa. Sio maigizo yasiyoisha. Mnaachana mwaka mzima sababu hampo straight kuwa mnaachana.

Kuna watu walianza kuachana January 2019 mpaka leo mwanaume ndo anashtuka baada ya kusikia ambaye mpaka leo bado anaachana naye anaolewa. Maumivu yameanza upya kama kaachwa leo.
Miaka miwili wanaachana tu, hahaha hatari sana
 
Kaa Kimya Tulia, Usimpe Cash Hata Kumi Mbovu
Baadaye Utanishukuru, Anakuacha Haa
 
Wakuu kwema?

Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini.

Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni.

Hawa watu wa namna hii ni majibu gani yanawafaa wakuu?
Kaka wacha nikufundishe kitu kwasisi ambao tumeoa michepuko inanguvu ila kuna muda ukichoka ndio basi tena....kwahiyo huyo achana naye.Akikuliza mbona umebadilika mwambie THIS IS AN OG CALL
 
Back
Top Bottom