Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Kuchauka Bora Kupata. Nilisomanae O level huyu jamaa. Advance nikakutana na kichwa cha Nyanda za juu kinaitwa P...mbu,tukazoea kumuita Mr. P. Sasa kituko chake huyu jamaa alikuwa hataki jina lake likatishwe hasa na waalimu hivyo ilikuwa Mwl akija class na kuita Mr. P haitiki wala hanyanyuki na akiulizwa anamjibu Mwl hilo sio jina langu niite jina langu halisi wazazi wangu walionipa sio wajinga. Alikuwa na matata kweli kweli.
 
Mathias Shindika, Katoke seminary, alikuwa machachari kweli kweli kwenye dimba la Kaitaba hapo shule
 
Kuchauka Bora Kupata. Nilisomanae O level huyu jamaa. Advance nikakutana na kichwa cha Nyanda za juu kinaitwa P...mbu,tukazoea kumuita Mr. P. Sasa kituko chake huyu jamaa alikuwa hataki jina lake likatishwe hasa na waalimu hivyo ilikuwa Mwl akija class na kuita Mr. P haitiki wala hanyanyuki na akiulizwa anamjibu Mwl hilo sio jina langu niite jina langu halisi wazazi wangu walionipa sio wajinga. Alikuwa na matata kweli kweli.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbavu zangu
 
aisee jamaa zangu wawili
1.KIBICHWA USUDA
2.KIZA KINENE
 
Back
Top Bottom