Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

Karimu Kilonda na Abdul Mkangama olevel,Saidi kapilima primary huyu alikuwa mtaalam wa kujamba.
 
AJUA MUNGU NG'OMBE NI WANGU nilisoma nae middle school!!![/QUOTE]

Dah...noma sana hahahahaha
 
yaan! ilikuwa shida pale ambapo headmistress anataja majina ya waliolipa na wasio lipa ada.darasa lote ni hahahahaaaa!
 
Back
Top Bottom