Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Huu mtego wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu akiinita Dr najua tulikuwa wote Sidney mitaa ya bridgestreet
 
Mtu akiniita Rimoti, najua nilikutana naye Msoga, enzi hizo kiongozi wa vijana wa CCM Tawi
 
Na uki it was nusu albino 😀🤣
 
Kwanini car wash😂
 
Mtu akiniita Jina langu kwa kirefu najua huyu ananijua kindakindaki
 
Nikiitwa Kaffir au Mr.Kipara ni Shule au Chuo respectively
Nikiitwa Dee ni Mtaani nilipozaliwa au ninapoishi so ni Familia au ndugu na Marafiki wa Karbu sana.
Nikiitwa P L A U S I B L E hiyo ni special case kabisa lazima nimhoji vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…