Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Huu mtego wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu akiinita Dr najua tulikuwa wote Sidney mitaa ya bridgestreet
 
Mtu akiniita Rimoti, najua nilikutana naye Msoga, enzi hizo kiongozi wa vijana wa CCM Tawi
 
Mtu akiniita mkali, tall, bigii ujue tumekutana site&car wash

Nikiitwa mzee wa arsenal na utopolo- kibanda umiza

Nikiitwa hassan dalali - wapambanaji mjini

Nikiitwa maalim sheikh - hawa n wale wanaojua mimi n mzanzibar

Nikiitwa mtumishi wa Mungu- tunaoshiriki kwenye mambo ya kiimani zaidi

Professa - naowapa nondo za kimaisha wakaelewa

Home boiii-wanyumbani

Tajirii/ bosi- hawa wanafki wa faida
Na uki it was nusu albino 😀🤣
 
Kwanini car wash😂
 
Mtu akiniita Jina langu kwa kirefu najua huyu ananijua kindakindaki
 
Nikiitwa Kaffir au Mr.Kipara ni Shule au Chuo respectively
Nikiitwa Dee ni Mtaani nilipozaliwa au ninapoishi so ni Familia au ndugu na Marafiki wa Karbu sana.
Nikiitwa P L A U S I B L E hiyo ni special case kabisa lazima nimhoji vizuri.
 
Back
Top Bottom