Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Umejibu vizuri na kwa heshima sana mkuu. Much appreciation kwako mkuu. Nendeni mkachat PM usiku kucha ila hapa mnakwaza wengine.
Siwezi kuwa sehemu ya furaha/makwazo kwa kila mtu, jukwaa linaruhusu haya nayoyafanya. Ingekuwa ni jukwaa la siasa hapo sawa.

Umekuja kutuattack sio kushauri lakini hilo limeisha mkuu sio kila ushauri ni wakufuatwa au kuachwa.
 
sitaki tena kukuita hilo jina, najiskia vibaya

utani mwingine sio mzuri[emoji23]

kila mtu ana utofauti wake

Afu me niko poa wala sijawai kumind, mbona bro ako ananitania na kunicheka juu.
Ndio kwanza namrecordia na nyimbo asikilize kabisaa acheke vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ningemind mbona ningekuchamba had ukose usingizi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom