Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Nimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..
[emoji120][emoji120][emoji120] Hii imeenda
 
Natumai mko poa Wakuu,

Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.

Kwa mfano;
  • Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
  • Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
  • Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
  • Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
  • Akiniita MoroGent - Tumekutana JF

Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?

Kazi kwenu wakuu.
Huu ni mtego..msije sema sikuwambia
 
Back
Top Bottom