Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Ukiniita gugo najua kbs tulikua wote madereva Toyo ........ nlikuwa nawatafsiria vingereza wanazoandikiwa na mademu zao

Nyokah(sijui kama mnajua namna ya kutamka😁) bas najua kbs we tulikutana....
 
Back
Top Bottom