Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

Kuna jina mtu akiniita tu najua huyu fulani..
Nina majina mengi mnooo, ila kubwa ndio makaveli.
Kuna mtu akisema PROFESSIONAL najua huyu ni fulani ama fulani.
Kuna mtu akiniita MAKALEVI, mwingine MAKAvery, makavilla. MAKA
Tycoon, Tyson.
DIEGO SIMEONE
FUNDI.
MIKITO
uncle miki
Thierry henry kichogo.
Leader
Rider
SHEIKH.
alwatan
Albabu.
Arrrrrrrraaaaaahhh.
Cantomila
Show me.
Pantoni(primary)
Jina langu la ukoo..
Kuna aina ya utajaji wa jina langu, anavutia fulani.
Kuna mtu anafupisha jina langu na anaongezea boy.

Kuna wengine miaka kibao mnapotezana, uKisikia umeitwa hivyo tu, unajua huyu fulani.. hata kama nitaitwa hivyo nikiwa mjini BOSTON najua huyu ni fulani tu.
 
Natumai mko poa Wakuu,

Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.

Kwa mfano;
  • Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
  • Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
  • Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
  • Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
  • Akiniita MoroGent - Tumekutana JF

Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?

Kazi kwenu wakuu.
😂😂😂😂Eti nakudya gusa acheni uongo sema ndumvalimwe mzeee utajua
 
Natumai mko poa Wakuu,

Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.

Kwa mfano;
  • Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
  • Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
  • Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
  • Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
  • Akiniita MoroGent - Tumekutana JF

Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?

Kazi kwenu wakuu.
Mbavu_gym boy
 
Nikiitwa Mtaleban najua hawa nimekutana nao chuo
Nikiitwa mwamedi hawa ni ndugu zangu( wajomba au shangazi)
Niikitwa kaka mudi najua hawa ni madogo zangu
Niikitwa binlade mtu mbadi hawa wana wa mtaani kwangu hasa bajaji na bodaboda
Niikitwa Shekhe hawa watu wa masjid
Nikiitwa kaka midevu hawa ni majirani zangu na nilipopanga hasa wamama na wadada
we kama sio mo kanta
 
Back
Top Bottom