Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe 😅😅🤭Nikuite lile jina?😁😁
Uko mbinga sehemu gani😉😉Mtu akiniita tuna, huwa nashtuka sana[emoji3][emoji3]
Nikiitwa Kigogo huyo nimesoma nae Primary nilikuwa dictionaryNatumai mko poa Wakuu,
Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.
Kwa mfano;
- Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
- Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
- Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
- Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
- Akiniita MoroGent - Tumekutana JF
Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?
Kazi kwenu wakuu.
Jina lako silikumbuki ila najua asili yake naweza vuta picha, na features nakumbuka in fact nikikutana na wewe nitakujua tena.Wanangu wote tupo jeiefu,nikisema tu watajua,ni wawili tunafahamiana hadi ID zetu hapa 😀😀
hahaha nimekujua leo, kumbe ni weweMtu akiniita tuna, huwa nashtuka sana[emoji3][emoji3]
JambaziHivi ukiitwa mzee wa kazi huwa lina maana gani
mh! Jizibue mwenyewe..Nimeipenda hii post Nilionyesha post hii kwa familia yangu na wao pia wamependa post hii. tumenunua projekta na tukaonyesha post hii kwa mtaa mzima na pia wameipenda post hii. Maisha yetu yamebadilika kwa sababu ya post hii. Tunashukuru kwa post hii,asante sana kwa post hili..
Ko me ninavyokuita tajiri ni mnafki wa faida sio jirani yako tena? 🤣🤣🤣🤣Mtu akiniita mkali, tall, bigii ujue tumekutana site&car wash
Nikiitwa mzee wa arsenal na utopolo- kibanda umiza
Nikiitwa hassan dalali - wapambanaji mjini
Nikiitwa maalim sheikh - hawa n wale wanaojua mimi n mzanzibar
Nikiitwa mtumishi wa Mungu- tunaoshiriki kwenye mambo ya kiimani zaidi
Professa - naowapa nondo za kimaisha wakaelewa
Home boiii-wanyumbani
Tajirii/ bosi- hawa wanafki wa faida
Dakitari - sekondariNatumai mko poa Wakuu,
Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu.
Kwa mfano;
- Mtu akiniita Mvunaji -Tulikutana mzumbe,
- Akiniita Nyeli -Tulikutana swax,
- Akiniita Mnyamwezi -Tulikutana Zenji,
- Akiniita Nukudya-Gusa - Tulikutana Kasulu,
- Akiniita MoroGent - Tumekutana JF
Wewe ukiitwa jina gani na mtu yeyete kwa namba mpya au mmekutana town ghafla unajua huyu lazima nimesoma nae wap au kazi nae wapi au tumeshaga kutana wap?
Kazi kwenu wakuu.
dogo mtoto wa juzi nsha kupata,umefundishwa na ticha hansi,ngaraUkiniita NYANDA = uyu tulikuta pale msakila primary
Ukinita BISHOO// MIDO, UYU tulikutana pale rugwa,
Ukiniita Ginimbi, uyu wa pale hombolo dodoma
ukiniita jay najua uyu ni wa mzumbe 🤗🤗