Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

Masikini Mtumwa Ndongombogo.

Huyu Mama wa huyu mtoto na Mumewe niliish kuwatafakari siku zote wana Shida gani, ila sikuweza kuwauliza.
 
Eti, ni jina gani ulisikia kwa mara ya kwanza na hukutegemea kuwa ni la mtu?

Tiririka...
Jina Makonda, sisi wapogoro tukisikia vikonda mawazo yanaenda kwenye vipande vya nyama hususani wanyama wa porini kama tembo ambao huwa tunavipata kule kwetu Bujumbura.
 
Back
Top Bottom