Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

Kikundu Kasenge, alikuwa Principal wa shule niliosoma Uganda.

Ilinichukua muda sana kuweza kumuita Mr. Kasenge bila kuangua kicheko.
 
Kijijini kwetu kuna mzee yeye anaitwa senti na mkewe anaitwa malahela, mwingine anaitwa saanane mkewe anaitwa safari, mwingine anaitwa oke mkewe anaitwa lakini. Sijui ilikuwaje hawa wazee wakaoana wenye majina unique namna hiyo
 
Back
Top Bottom