Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kipipi wewe hata mie nakupenda mno hilo jina linanikumbusha mbali
Oooh..kumbe na Kongosho atakuwepo? Basi nitajoin! lakini kama kuna yoyo na you know nyingi mimi sipawezi!
Washawasha, nalog off
Mi nampenda hata mwenyewe DENA
Ni nick name ya nani inayokuvutia hapa jamvini?
Sizinga...Happy New Year al JF members