Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

Mh hakuna hata anyetaja jina langu?Basi mtu anipm tuamue afu tutajane tumevutiana majina yetu..
 
Lazima aje aisee
haya mafua ntamziba na pamba puani
ila asilewe sana kama xmass
analiaga asubuhi

Utamruhus asherekee mwisho wa mwaka mwambie nina complementary yake ya kuingia RUNWAY..
 
Umekosea fomula
safuric acid inatengenezwa kwa hilo jina la mwisho plus kongosho

hiyo fomula ni kutoka kwa manufacturer

hao ulowaweka wanatoa chokaa, haina soko siku hizi nata shule za msingi zinapakwa rangi ya maji

The finest and The boss!
 
Back
Top Bottom