Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Sir Issue ni Mkuu wa Majeshi hakutaka kuendelea na vita, ila Olmert alitaka iendelee.
ndio maana sisi tunasimamia msimamo wetu kuwa Israel haikushindwa hatubahatishi
Anayepigana anasema tuachane na jamaa watatuabisha wewe mpiga domo unasema hapana endeleeni kukomaa hivyo hivyo!!! Halafu huku Loftins anashupaaa! Eti Israel ilishindaaa!
 
Usiingie kwenye mambo usiyoyajua. Tunaishi hapa Duniani tukiwa na watchdogs. Baada ya kuona Israel inaangamia UK and USA walipetition kwa UN kusimamisha vita. Kwa kuwa wewe wakati huo ulikuwa Kindagarten nikufahamishe tu hata Polisi wa Tanzania walipelekwa kulinda mpaka wa Israel na Lebanon
 
Ndo maana nasemaga israel kuishambulia iran ni ngano za mchana
 
Mkuu una uelewa wowote wa Military Science?
 
Siyo kweli ulivyoandika. They were militarily defeated and their goals to obliterate Hizbullah and rescue their captured soldiers were not achieved. In short, they were surprised by the heroic and fierce resistance from those militias.
 
Siyo kweli ulivyoandika. They were militarily defeated and their goals to obliterate Hizbullah and rescue their captured soldiers were not achieved. In short, they were surprised by the heroic and fierce resistance from those militias.
Ni kweli unalosema, lengo halikutimia lakini huwezi kusema walishindwa vita. Wengi wanspenda kusema " the war ended in a draw"
 
Ni kweli unalosema, lengo halikutimia lakini huwezi kusema walishindwa vita. Wengi wanspenda kusema " the war ended in a draw"
The war ended in a draw! Ndivyo unavyojidanganya. Iko hivi: ukianzisha vita let's say kwa ajili ya kuteka mji fulani vita vikapiganwa na ukashindwa kuuteka mji ule hapo wewe umeshindwa vita na wala haijalishi uharibifu kiasi gani umeufanya kwa mpinzani wako.
 
Hizbullah haikushinda hiyo Vita, isitoshe ilipoteza mamia ya wapiganaji wake kuzidi Israel na uharibifu mkubwa ulitokea huko Lebanon achilia mbali vifo vya raia wema.

Hizbullah ilishindwa kuyaondoa majeshi ya Israel yaliyovuka mpaka na kuvamia Lebanon isipokuwa wavamizi walijiondoa wenyewe, Sasa hapo ushindi wao upo wapi ?

Unadhani Hizbullah ingeishinda Israel hali ingekuwaje hapo mashariki ya kati ?, Je Israel ingeendelea kuwepo ?
 
Umeongea kishabiki sana....umeongeza chumvi sana
 
Mimi siku zote nasema Israel hawawezi kuipiga Iran. Atachakazwa vibaya. Iran (Persia) ndo mbabe wa asili wa Middle East, Kama kikundi tu Cha Hizbollah kiliwavuruga kinyesi Israel, ndo ipigane na Iran? Thubutuuu
 
Huyu ni mjinga ambae anapingana na facts kwa hadithi za vijiwe vya kwenye kahawa kuwa Israel haipigiki. Toka enzi na enzi, Israel imekuwa ikipoteza baadhi ya vita, na wanatekwa wanapelekwa uhamishoni utumwani. Unaweza kubishana hata na radio. Stiff necked fool
 
Mjinga kama huyu akikosa hoja anakimbilia kwenye udini! Sasa dini inazuia ukweli kwamba Israel alipigwa? Kama hakupigwa kwanini hakukamilisha operation yake kama alivyofanya kwenye 6 days war? Kitu watu wengi hawajui, vyombo vyote vya habari vikubwa duniani vinamilikiwa na wayahudi. Watatoa habari zile tu zinazowafanya waonekane wao ndo super. Pokea ukweli mchungu, Israel alipigwa, na sio mara ya kwanza kupigwa, amepigwa mara kibao toka enzi na enzi!
 
Hautokaa uje na hizo takwimu za kwenye vijiwe vya kahawa. Ndo umelaza hivyo mazima
 
1-Kamuulize Khamenei.

2-Syria ipo pale kwa msaada wa mkubwa wa Iran na Russia
US,Israel walitaka kuangusha serikali ya Assad iwe kama Libya wamefeli baada ya Iran kuwakingia kifua.

3-Mikakati waliyonayo Iran ni mingi sana, unazungumzia upande gani?
Lengo la Iran kuisapoti Syria ni pale itakapotokea vita ya Iran vs Israel, atumie ardhi ya Syria kumpiga Israel. Na amefanikiwa
 
Kwamba media zote kubwa zinamilikiwa na Wayahudi? Alooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…