shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
Mtoa maada kupigana na nchi ni tofauti na kupigana na kikundi, ushindi wa kupigana na nchi ni kuteka maeneo lakini kupigana na kikundi ni kuhakikisha una neutralise kitu ambacho ni kigumu sababu kikundi cha kigaidi kama hezbollah hawana makazi maalumu hivyp raia wange pata taabu zaidi.