Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Pia unasahau Turkey bado inaikalia sehemu ya europe mfano cyprus,,Turkey wana ifluence crimea,ukraine,serbia etctawala za ulaya na mashariki ya kati zilizotawala ulimwengu haziwezi tena kurudi na kutawala ulimwengu kwani muda wao ushapita, ulimwengu sasa hivi unaelekea uchina na nchi zinnazokuja kwa kasi kama india, brazil nk. so kwa ottoman na hao mafarao kurudi kwenye game tena sahau
Turkey inamake inroad into syria na kama siyo Russia na iran,tayari Assad angeshaangushwa na ottoman ingekuwa ishaingia arabuni.
Kwasasa nchi za kiarabu zinafanya juu chini Turkey asikite mizizi libya,,nchi nyingi za kiarabu zilipata uhuru baada ya uturuki kushindwa vitani na majeshi ya kiarabu yakiongozwa na Lawrence of arabia