Ni Jumatatu nyingine tena, wiki hii yote ni mkeo na office husband wake

Haya ni mawazo hasi dhidi ya wanawake,kila siku kuwasema wanawake mara hiki mara kile,vipi kuhusu wanaume waume za watu,wao hawachukuliwi na wanawake wanaofanya nao kazi? umesiikia wanawake walioolewa wanaolalamika?
Endeleeni kufananisha mwanaume na mwanamke sasa.

Wewe hata ukichepuka ukazaa nje hiyo mimba italelewa huko na maisha yaweza kwenda.

Mkeo akizaa nje utalea kuanzia mimba hadi toto la jamaa, utalipa ada nk hadi pale mtakapotibuana ndani uropokewe mwana si wako ndo ustuke na kuanza kufananisha sura na kupima DNA. Na nchi hii ilivyo fyatu huko kwenye DNA utadanganywa mwana wako na mkeo malaya atakuomba radhi kwamba ilikuwa hasira tu kuropoka vile uta calm hadi siku jamaa litapomchukua mwanae rasmi presha ipande ukate moto.
 
Ukweli mchungu, si umeona shuhuda hizo za baadhi ya wachangiaji wengine wamewalala kabisa wake za watu.

Wanetu wanagongewa sana wake zao huko vituo vya kazi.

Na wakati fulani unakuta ni mke wa mtu ndiye anayekutega mwenyewe uiloweke
​
Unajua hawa wanawake wengi tunaowaona kwenye hizi corporations na taasisi si haba wamepiga shule I mean wamepitia vyuo

Sasa angalia life la vyuo jinsi lilivyo. Jinsi mabinti wanashonwa hovyo na kuwekwa ndani kwenye ndoa bubu, angalia night life wanavyojiachia viwanjani

Leo mwanaume anasema ngoja nimuoe msomi au mwenye kazi ili tusaidiane kusukuma gurudumu la maisha. Kumbe unaweka ndani kahaba mwenye degree ya chupi

Ila mwanaume anasahau her past. Hata umuweke ndani kama mke hawezi kuacha umalaya never ever

Mkuu ukweli ni kwamba kwa mwanamke her past matters haijalishi ni msomi, mfanyakazi au mrembo kiasi gani
 
Haya ni mawazo hasi dhidi ya wanawake,kila siku kuwasema wanawake mara hiki mara kile,vipi kuhusu wanaume waume za watu,wao hawachukuliwi na wanawake wanaofanya nao kazi? umesiikia wanawake walioolewa wanaolalamika?
Unajua kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume inapokuja kwenye kucheat

Jiulize kwa nini mwanaume akihisi au akijua mke wake anamcheat atamuuliza ulilala naye?

Lakini mwanamke akijua mwanaume wake anacheat na mwanamke mwingine atamuuliza unampenda huyo mwanamke kuliko mimi?

Unajua hilo swali la wanawake linafunua jambo moja la msingi sana, wanajua wanaume tunacheat with no emotions. Anataka tu ajiridhishe kama ni tamaa tu ukajikuta umeiweka kwa mwanamke mwingine

Ni vigumu sana kwa mwanamke kuwa tayari kumuacha mume wake kisa tu ameichapa ya mwanamke mwingine

Ila kwa wanaume ni tofauti kwa sababu tunajua mwanamke mpaka atanue mapaja hisia zimehusika. Maamuzi ya kiume huwa ni kupiga chini
​
 
Mpaka siku utakapoanza kule bao la mchepuko wa mkeo

Siku unaenda kwenye party ya kazini kwao unagundua Junior wako kafanana na manager wa kazini kwa mke wako
​
Haibadirshi ukweli mkuu. Ndio maana Kuna msemo unasema ukimchunguza sana bata hutomkula. Kuna mengine unajifanya ku ignore kama hayapo
 
Tamaa ya mwanamke wa kisasa ni kuliwa na wanaume wengi kadiri atakavyoweza kuwapata anaowatamani halafu awe na fala m'moja ambaye ndie atamtambulisha kama mume ambaye watakuwa wote hadi uzeeni.

Mwanamke wa kisasa akikaa bila kuliwa na mwanaume mwingine nje ya aliyekuwa nae huwa anahisi hajakamilika.

Atatengeneza visingizio kama "alikuwa hanihudumii","alikuwa hayupo vema kitandani","alikuwa hatengi muda wa kukaa na mimi","alikuwa na wanawake wengine".

Hizi sababu zote huwa ni visingizio tu kwa mwanamke asiyejua maana ya kuwa mke wa mtu.
 
Hakika wake zao tunawafaidi muda ote na kucheza na viuno vyao kuna muda huwa nawalamba hawa workmates zangu hata kwenye meza yangu, lakini unafanya vibaya kuwasanua waache tuendelee kuwafaidi wake zao.
 
Endelea kulala, kwa haya mawazo kama unasubiri siku ya kuja kumfumania mke ndio uamini analiwa utasubiri adi mwisho wa dunia, hakuna kiumbe mwepesi kulika kama mke wangu, jitie mjanja wakulungwa wanakumegea.
 
Hakika wake zao tunawafaidi muda ote na kucheza na viuno vyao kuna muda huwa nawalamba hawa workmates zangu hata kwenye meza yangu, lakini unafanya vibaya kuwasanua waache tuendelee kuwafaidi wake zao.
Oyaa kumbe na wewe huwa unazichapaga, kuna mwana tuko naye husema wake za watu ambao ni co-workers ni sehemu ya marupurupu na incentives za kazini
 
Ndiyo maana nchi haiendelei kwa sababu watumishi wanawaza kunyanduana tu kuliko kufanya gunduzi na tafiti mbalimbali.

Hivi kama mpo bize hata kuandaa project plans mtapata muda wa kunyanduana siku za kazi?
 
Hao mama wanyumbani wanalika lakini wananidhamu na heshima pia wanatimiza majukumu yao kama mama, lakini hawa wafanyakazi wenzetu huku makazini karibu muda wote tunawabinya makalio na kuwachakata na wanatupatia siri zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…