ngosha degoo
Member
- Nov 13, 2019
- 14
- 23
Kimsingi bila Unafiki huyu Mzee Magufuli amefanya mengi sana ana stahili support na support ni kumpigia kuraCC wengne cio CCM, lkn tunaona kabsa huyu jamaa anavowapoteza CHADEMA
Kimsingi bila Unafiki huyu Mzee Magufuli amefanya mengi sana ana stahili support na support ni kumpigia kuraCC wengne cio CCM, lkn tunaona kabsa huyu jamaa anavowapoteza CHADEMA
😆😆😆Kwendaaaa!!! Tuachie mwamba wetu atuvushe 👉✌
Wakati anafanya Maamuzi ya kuwafukuza TBC akiambiwa na LEMA alikua hajui kwamba anakosea na kuna wakati atahitaji maridhiano?Tumia ubongo kufikiri, hebu jiulize kwani mbowe ndiyo aliyendaa huo Mkutano wa reconciliation? Kwanini TEF na NEC wameona umuhimu wa kuwakutanisha CDM na TBC kuondoa hizo tofauti? Je hukumsikia Dr. Rioba mwenyewe akiomba radhi kwa kitendo kilichofanywa na watangazaji.
BTW, elewa kuwa kwenye kutafuta suluhu kila upande haupaswi kushupaa, bali hujishusha kuleta mardhiano
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Kumchagua ninyi haina maana ya yeye kukosa hekima za uongozi, athari za uongozi wake mbovu ni za taifa si chademaTulimchagua wenyewe
Tunamlipa wenyewe
Why mteseke mingi Ccm?
Mbowe hana jipya ndani ya CHADEMA ni mpigaji paleChama kimapato bado kichanga vipi ana misuri ya kipesa na kifikra kukiendesha?
Tatzo hilo, wasipofanya maamuz hawataenda popoteKwao nzi kafia kwa kidonda
Hakuna anaeumia ila mnaelekezwa kwani yote yaliyosemwa ni kweli na hakuna la uongoNape amemaliza fikra zake zote hapa. Kweli dunia inakwenda kasi sana.
Waungwana wamesuluhisha chadema na TBC kwako imekuwa nongwa. Siku ya kupiga kura vituo havitakuwa na sholo kwamba wala ali kiba kuita watu. Hivyo wale wenye wafuasi wa kujitoa kwa hiari kwa kiu ya kupiga dhuruma watajitokeza kwa wingi.
Umesema chadema na wapinzani wengine hawana watu wengi mikjtanoni sasa kinakuuma nini. Naona umeumia.
Sasa kati ya hao wagombea nani anaweza kumsaidia mwananchi kupata milo mitatu zaidi ya JPM?Mwananchi sahiv anaangalia Nani w akimvusha kula milo mitatu kwa siku kuanzia mwaka huu November, sio Mvuto.
Ndio maana mnatumia wasanii kuleta Mvuto kwa wagombea wenu ok Bila wasanii hamna mvuto
Ulitaƙa naye ajenge uwanja ƙama alivƴo fanƴa wa chattle...???😆😆😆
Atawavusha wap?
Hiv we mwenyewe jiulize, Mbowe tokea awe mwenyekiti amewafanyia nn?
Amepata mafanikio gan?
unazungumza hofu kipindi hiki cha magufuli? kipindi ambacho nchi imefanya makubwa katika nyanja mbalimbali, kipindi ambacho cdm inaingia ktk uchaguzi kwa kukosa mgombea mwenye sifaUongo na ukosefu wa utambuzi wa ukweli wa mambo. CCM leo ina hofia CHADEMA kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya vyama vingi, hili liko wazi sana.
Yeah, MBOWE MUST BE DISPOSEDKatika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya Mgogoro wa TBC na CHADEMA ambao msingi wake ulikuwa kukurupuka kwa MBOWE nakubaliana kabisa na Ndugu Shonza kuwa Freeman MUST BE DISPOSED..!
Sifa moja ya Kiongozi bora ni kufanya informed decisions, maamuzi yaliyopitia tafakuru ya kutosha na kupima madhara na faida ya maamuzi hayo, katika kile ambacho kimethibitika kuwa ni kukurupuka, Mbowe aliwafukuza waandishi wa TBC wakiwa Live katika mkutano wao wa ufunguzi Mbagala, katika namna ya kudhalilisha na ambayo ingepelekea kudhuriwa kwa waandishi hao ama mali zao kuharibiwa. Leo amejitokeza hadharani bila aibu anasema alishinikizwa na kupotoshwa wakati anafanya maamuzi hayo, alisema hivi pia siku Lowasa anarudi CCM, kwa Kiongozi wa Juu kabisa wa Chama tena aliyekuwepo madarakani kwa miongo kadhaa kurudia kosa lile lile na kutoa sababu zile zile za kufanya kosa hilo ni UJUHA.
Kilichonifurahisha zaidi ni akili za wafuasi wa CHADEMA, kwa namna wanavyoiponda TBC na kwa namna walivyompongeza Mwenyekiti wao kwa kuwafukuza TBC ni ajabu kwa namna wanavyosifia na kushangilia uamuzi wa kuwaomba msamaha TBC na kuwaomba warushe matangazo yao kwa mara nyingine. Chama kile cha Freeman, kina tatizo kubwa zaidi ya nilivyokuwa nikifikiria awali.,na tatizo hilo linaanzia kwa wafuasi kabla ya Viongozi, kuwa na wafuasi wasio na mwelekeo wasiojua wanataka nini, wanageuzwa kama samaki kikaangoni., ni tatizo na kwasababu hiyo Viongozi wanajua udhaifu wa wanachama wao na wanawajua kwa dhati kabisa kuwa ni watu wasiojielewa, watu wengine wanawaita kwa lile jina baya la Manyumbu, mimi siwezi kuwaita hivyo ila hili la kushangilia matangazo ya TBC kurudishwa limenifikirisha.
Freeman amefikia mwisho wa kufikiri, hana jipya, amekosa mwelekeo, amepoteza jimboni na anapoteza Taifani, amepanic na anaona giza limetanda katika safari yake ya kisiasa. Ni Mbowe amesababisha Chama kukimbiwa na Wabunge, Ni Mbowe ameivuruga Bavicha aliwapangia safu ya uongozi na watu aliowaweka wakamkimbia, ni mbowe ameivuruga Bawacha akamuweka Mdee kwasababu zake binafsi, akagawa ubunge wa Viti maalum kwa upendeleo na matamanio ya nafsi yake, akaendesha Chama kama kijiwe cha wahuni, wale wenye fikra wakamkimbia. Chadema haikubaliki kwa wasomi, haikubaliki na Wazee, haikuwahi kukubalika na wanawake wa nchi hii, haikubaliki kwa Vijana na haikubaliki Kaskazini (hakuna Chadema Arusha, kilimanjaro wala manyara) wala Kusini , haina base Mashariki wala magharibi, Chadema ya leo ni YATIMA.
CHADEMA wamepoteza hamasa katika mikutano yao, wamepoteza mvuto kwa wananchi, wamekosa ajenda na hawana sera. Sio coverage ya TBC, ITV, Clouds TV ama media yeyote ile inaweza kuwasaidia kwasasa. Narudia tena kuwa Kampeni ni maarifa, mipango na akili, CHADEMA WAMEKOSA VYOTE....!!
Apambanie wananchi wake wa HAI kama Kupambania CDM AmeshindwaUlitaƙa naye ajenge uwanja ƙama alivƴo fanƴa wa chattle...???
Ndo tujiulize hapo sasa labda wakati huo akili zake zilikua zimeenda likizoWakati anafanya Maamuzi ya kuwafukuza TBC akiambiwa na LEMA alikua hajui kwamba anakosea na kuna wakati atahitaji maridhiano?
Hakuna kiongozi hapooo
Ni vema ungekuwa unafanya reference kutoka kwa watu wenye weledi.Katika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya Mgogoro wa TBC na CHADEMA ambao msingi wake ulikuwa kukurupuka kwa MBOWE nakubaliana kabisa na Ndugu Shonza kuwa Freeman MUST BE DISPOSED..!
Sifa moja ya Kiongozi bora ni kufanya informed decisions, maamuzi yaliyopitia tafakuru ya kutosha na kupima madhara na faida ya maamuzi hayo, katika kile ambacho kimethibitika kuwa ni kukurupuka, Mbowe aliwafukuza waandishi wa TBC wakiwa Live katika mkutano wao wa ufunguzi Mbagala, katika namna ya kudhalilisha na ambayo ingepelekea kudhuriwa kwa waandishi hao ama mali zao kuharibiwa. Leo amejitokeza hadharani bila aibu anasema alishinikizwa na kupotoshwa wakati anafanya maamuzi hayo, alisema hivi pia siku Lowasa anarudi CCM, kwa Kiongozi wa Juu kabisa wa Chama tena aliyekuwepo madarakani kwa miongo kadhaa kurudia kosa lile lile na kutoa sababu zile zile za kufanya kosa hilo ni UJUHA.
Kilichonifurahisha zaidi ni akili za wafuasi wa CHADEMA, kwa namna wanavyoiponda TBC na kwa namna walivyompongeza Mwenyekiti wao kwa kuwafukuza TBC ni ajabu kwa namna wanavyosifia na kushangilia uamuzi wa kuwaomba msamaha TBC na kuwaomba warushe matangazo yao kwa mara nyingine. Chama kile cha Freeman, kina tatizo kubwa zaidi ya nilivyokuwa nikifikiria awali.,na tatizo hilo linaanzia kwa wafuasi kabla ya Viongozi, kuwa na wafuasi wasio na mwelekeo wasiojua wanataka nini, wanageuzwa kama samaki kikaangoni., ni tatizo na kwasababu hiyo Viongozi wanajua udhaifu wa wanachama wao na wanawajua kwa dhati kabisa kuwa ni watu wasiojielewa, watu wengine wanawaita kwa lile jina baya la Manyumbu, mimi siwezi kuwaita hivyo ila hili la kushangilia matangazo ya TBC kurudishwa limenifikirisha.
Freeman amefikia mwisho wa kufikiri, hana jipya, amekosa mwelekeo, amepoteza jimboni na anapoteza Taifani, amepanic na anaona giza limetanda katika safari yake ya kisiasa. Ni Mbowe amesababisha Chama kukimbiwa na Wabunge, Ni Mbowe ameivuruga Bavicha aliwapangia safu ya uongozi na watu aliowaweka wakamkimbia, ni mbowe ameivuruga Bawacha akamuweka Mdee kwasababu zake binafsi, akagawa ubunge wa Viti maalum kwa upendeleo na matamanio ya nafsi yake, akaendesha Chama kama kijiwe cha wahuni, wale wenye fikra wakamkimbia. Chadema haikubaliki kwa wasomi, haikubaliki na Wazee, haikuwahi kukubalika na wanawake wa nchi hii, haikubaliki kwa Vijana na haikubaliki Kaskazini (hakuna Chadema Arusha, kilimanjaro wala manyara) wala Kusini , haina base Mashariki wala magharibi, Chadema ya leo ni YATIMA.
CHADEMA wamepoteza hamasa katika mikutano yao, wamepoteza mvuto kwa wananchi, wamekosa ajenda na hawana sera. Sio coverage ya TBC, ITV, Clouds TV ama media yeyote ile inaweza kuwasaidia kwasasa. Narudia tena kuwa Kampeni ni maarifa, mipango na akili, CHADEMA WAMEKOSA VYOTE....!!
Inshort wapo nyuma ya Muda na Siasa za sasa za hoja zimewapita kushoto wapo bado kwenye zama za kulalamikaUkweli usiopingika ni kuwa chadema imepoteza watu wanaoweza kufikiri Hilo limesababisha kiongozi mkuu (mbowe) kuzungukwa na wanaharaki ambao kiasili ni binadamu wenye mihemko hivyo kusababisha kufanya maamuzi ambayo yenye majuto baada ya kitambo kidogo.
Kumpoteza Dr.Slaa, Zitto, Dr. Mkumbo, Mama Anna pia kurudi nyuma kwa watu wenye hekima Kama Prof Baregu kumefanya chama kupoteza maono na muelekeo wa kisiasa. Watu wanaofikiri faida yao kuu ni kuleta majibu/suluhisho katika changamoto mbalimbali ndio maana haishangazi sana kuona Sasa hivi Chadema kuwa niya walalamishi tu kwani wameshindwa kutafuta njia ya kupambana na aina ya siasa za sasa kwa kuwa majibu ya maswali ya kipindi cha kikwete hayawezi kutatua changamoto za awamu hii. Ushauri wangu kwa chadema ni lazima itambue na kuzilinda karama za watu wanaoweza kufikiri maana ni muhimu sana ili kufikia maono na malengo ya chama. Macho yangu yanawaona viongozi wachache wanaoweza kuwasaidia japo kwa sasa nafasi zao ni ndogo sana kushawishi maamuzi yenye busara na kulinda maono ya chama, watumieni na hakikisheni hamuwapotezi
Yy cndo alowafukuza TBC!Mbowe hajaomba msamaha aombe msamaha kwa lipi