Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Sasa Juliana Shonza ana hekima gani ?!. Anaweza kuongoza chama hata ngazi ya kata ?!Tukisherekea mapema itakua tumewanyanyasa, huo ni udhalilishaji wa kijinsia
Sasa Juliana Shonza ana hekima gani ?!. Anaweza kuongoza chama hata ngazi ya kata ?!Tukisherekea mapema itakua tumewanyanyasa, huo ni udhalilishaji wa kijinsia
Kabisaaa,Watazidi kuwa wa kupiga kelele kila siku wasipokaa chini wakajitathmini mara mbili mbiliWanatia huruma kwa kweli
Tatizo hilo hahahhahhahhMm naww cjui nan anatakiwa akasome,
Maan hata kuandika neno tuition hujui
Wafuasi wa chadema Wana akili ndogo sanaKilichonifurahisha zaidi ni akili za wafuasi wa CHADEMA, kwa namna wanavyoiponda TBC na kwa namna walivyompongeza Mwenyekiti wao kwa kuwafukuza TBC
Wanatumia usafiri wa anga amba mala zote walikuwa wanaupinga na aliyeufufua anatumia usafiri wa nchi kavu. Hii inazidi kuwaumbua chadema wajue umuhimu wa ununuzi wa NdegeKwel kabsa
Em soma makala uelewe usikimbilie kujibu tuSasa Juliana Shonza ana hekima gani ?!. Anaweza kuongoza chama hata ngazi ya kata ?!
Hata wao wanajua ila hawataki kukubali tuuKimsingi bila Unafiki huyu Mzee Magufuli amefanya mengi sana ana stahili support na support ni kumpigia kura
Chama kimapato bado kichanga vipi ana misuri ya kipesa na kifikra kukiendesha?
Labda centiMnaumia sana kuona chadema inaenda kuchukua dola
Ccm wanasomba watu kwa malori huko Tarime angalau pawe na watu wawili watatu Mheshimiwa asiaibike na ametoa amri kwa kila mkit wa ccm mkoa kwamba ole wake kama hakuna umati mkubwa. Pia watu wamekata tamaa kutokana na udikteta uliopo iwe ni ccm au upinzani magu kaharibu demokrasia yetu.Chadema tuliihofia kipindi cha Lowassa 2015. Sasa hivi hata kampeni zimepooza kwasababu hakuna ushindani kabisa. Lissu mwenyewe hajui kama anagombea urais. Salum Mwalimu ndio kabisa! Hajijui kama ni Mgombea Mwenza au bodigadi wa Lissu!
Unaifahamu "The Theory of Machiavellianism"? Kama huijui inasema, " The end justifies the means ".Ccm wanasomba watu kwa malori huko Tarime angalau pawe na watu wawili watatu Mheshimiwa asiaibike na ametoa amri kwa kila mkit wa ccm mkoa kwamba ole wake kama hakuna umati mkubwa. Pia watu wamekata tamaa kutokana na udikteta uliopo iwe ni ccm au upinzani magu kaharibu demokrasia yetu.