Nassor Mohamed
Member
- Sep 1, 2020
- 86
- 41
Anatakiwa atafute mbinu ya kukiongezea chama mapato,Chama kimapato bado kichanga vipi ana misuri ya kipesa na kifikra kukiendesha?
Nacio kuptisha bakuli
Anatakiwa atafute mbinu ya kukiongezea chama mapato,Chama kimapato bado kichanga vipi ana misuri ya kipesa na kifikra kukiendesha?
Nandio alosababisha kupoteza wabunge na madiwaniNi dhahiri Mbowe kakosa sifa za uongozi kwakumtizama kwa matukio kadhaa ya kimaamuzi, maamuzi yasiosikiliza pande zote (migogoro na wabunge wake), kupokea jambo na kulipeleka public pasipo fikra za kina (imeonekana katika tukio la tbc) lakini pia anaendeshwa na hisia kuliko maarifa na hekima. MUST BE DISPOSED
Huu ni umasikini wa fikraTulimchagua wenyewe
Tunamlipa wenyewe
Why mteseke mingi Ccm?
Acha selfdefend nenda kwenye kujibu hojaNi vema ungekuwa unafanya reference kutoka kwa watu wenye weledi.
Yaani kabisa, na akili yako kamili, unaweza kuanzisha thread kwa reference ya Juliana! Inaonekana kwenye circle yako hakuna wenye hekima. Ongeza uwigo wa watu unaochangamana nao, unaweza kubahatisha japo mmoja mwenye hekima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa ninalo liona kwa mbowe ni kukaribisha na kuwapa nafasi kubwa watu wasiostahili amekubali watu Kama Lema, Lisu, Heche kuwa sehemu ya maamuzi hilo ndilo linalomtesa kwa sasa. Hawa ni watu wa amsha amsha hawastahili kutoa majibu ya maswali magumu na ya haraka. Ni mara elfu mia kukubali Ushauri wa mnyika, Prof J au Mchungaji msigwa kuliko hao wanaharakati wale karama yao ni ujasiri na kuhamasisha wakiwa mstari wa mbele huku nyuma wenye akili wakiwa nyuma kuwapa ramani ya vita. Anyway wasipojitazama namuona strategist Zitto akiwapiga chiniNi dhahiri Mbowe kakosa sifa za uongozi kwakumtizama kwa matukio kadhaa ya kimaamuzi, maamuzi yasiosikiliza pande zote (migogoro na wabunge wake), kupokea jambo na kulipeleka public pasipo fikra za kina (imeonekana katika tukio la tbc) lakini pia anaendeshwa na hisia kuliko maarifa na hekima. MUST BE DISPOSED
KabsaKatika tukio lile inamuonesha Mbowe akipewa ujumbe wa shinikizo pasipo tafakuri nae akatekeleza, bila kujali itachukuliwa vipi na taasisi zingine pamoja na wananchi.KAKOSA SIFA MUHIMU YA UONGOZI MUST BE DISPOSED.
Nimbinafsi na mbaguziTatizo kubwa ninalo liona kwa mbowe ni kukaribisha na kuwapa nafasi kubwa watu wasiostahili amekubali watu Kama Lema, Lisu, Heche kuwa sehemu ya maamuzi hilo ndilo linalomtesa kwa sasa. Hawa ni watu wa amsha amsha hawastahili kutoa majibu ya maswali magumu na ya haraka. Ni mara elfu mia kukubali Ushauri wa mnyika, Prof J au Mchungaji msigwa kuliko hao wanaharakati wale karama yao ni ujasiri na kuhamasisha wakiwa mstari wa mbele huku nyuma wenye akili wakiwa nyuma kuwapa ramani ya vita. Anyway wasipojitazama namuona strategist Zitto akiwapiga chini
Hii haikusaidii wewe wala taifa, tusimame katika misingi itakayoliinua taifa letuKwendaaaa!!! Tuachie mwamba wetu atuvushe 👉✌
Jambo la kwel ni lakwel tu hata kam kaongea mtoto mdogoNi vema ungekuwa unafanya reference kutoka kwa watu wenye weledi.
Yaani kabisa, na akili yako kamili, unaweza kuanzisha thread kwa reference ya Juliana! Inaonekana kwenye circle yako hakuna wenye hekima. Ongeza uwigo wa watu unaochangamana nao, unaweza kubahatisha japo mmoja mwenye hekima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana uwezo huo?Ulitaƙa naye ajenge uwanja ƙama alivƴo fanƴa wa chattle...???
Akili hizi Tunatofautiana sn. Kwan JPM anaanza sahivi kuongoza, mika mitano ikiyopita kwann hakuwasaidia. Subirin kwenye sanduku la kura, mtaona Nani ana mvutoSasa kati ya hao wagombea nani anaweza kumsaidia mwananchi kupata milo mitatu zaidi ya JPM?
Hakuna 😃😃Sasa kati ya hao wagombea nani anaweza kumsaidia mwananchi kupata milo mitatu zaidi ya JPM?
Tukio la chadema kuwafukuza TBC kwenye mkutano wao wakiwa wanarusha matangazo yao live ni dhahiri kua walificha aibu ya kukosa wafuasi kwenye mikutano yao na kuwadanganya watanzania kua wanakubalika kumbe ukweli wanaujua wenyewe.Katika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya Mgogoro wa TBC na CHADEMA ambao msingi wake ulikuwa kukurupuka kwa MBOWE nakubaliana kabisa na Ndugu Shonza kuwa Freeman MUST BE DISPOSED..!
Sifa moja ya Kiongozi bora ni kufanya informed decisions, maamuzi yaliyopitia tafakuru ya kutosha na kupima madhara na faida ya maamuzi hayo, katika kile ambacho kimethibitika kuwa ni kukurupuka, Mbowe aliwafukuza waandishi wa TBC wakiwa Live katika mkutano wao wa ufunguzi Mbagala, katika namna ya kudhalilisha na ambayo ingepelekea kudhuriwa kwa waandishi hao ama mali zao kuharibiwa. Leo amejitokeza hadharani bila aibu anasema alishinikizwa na kupotoshwa wakati anafanya maamuzi hayo, alisema hivi pia siku Lowasa anarudi CCM, kwa Kiongozi wa Juu kabisa wa Chama tena aliyekuwepo madarakani kwa miongo kadhaa kurudia kosa lile lile na kutoa sababu zile zile za kufanya kosa hilo ni UJUHA.
Kilichonifurahisha zaidi ni akili za wafuasi wa CHADEMA, kwa namna wanavyoiponda TBC na kwa namna walivyompongeza Mwenyekiti wao kwa kuwafukuza TBC ni ajabu kwa namna wanavyosifia na kushangilia uamuzi wa kuwaomba msamaha TBC na kuwaomba warushe matangazo yao kwa mara nyingine. Chama kile cha Freeman, kina tatizo kubwa zaidi ya nilivyokuwa nikifikiria awali.,na tatizo hilo linaanzia kwa wafuasi kabla ya Viongozi, kuwa na wafuasi wasio na mwelekeo wasiojua wanataka nini, wanageuzwa kama samaki kikaangoni., ni tatizo na kwasababu hiyo Viongozi wanajua udhaifu wa wanachama wao na wanawajua kwa dhati kabisa kuwa ni watu wasiojielewa, watu wengine wanawaita kwa lile jina baya la Manyumbu, mimi siwezi kuwaita hivyo ila hili la kushangilia matangazo ya TBC kurudishwa limenifikirisha.
Freeman amefikia mwisho wa kufikiri, hana jipya, amekosa mwelekeo, amepoteza jimboni na anapoteza Taifani, amepanic na anaona giza limetanda katika safari yake ya kisiasa. Ni Mbowe amesababisha Chama kukimbiwa na Wabunge, Ni Mbowe ameivuruga Bavicha aliwapangia safu ya uongozi na watu aliowaweka wakamkimbia, ni mbowe ameivuruga Bawacha akamuweka Mdee kwasababu zake binafsi, akagawa ubunge wa Viti maalum kwa upendeleo na matamanio ya nafsi yake, akaendesha Chama kama kijiwe cha wahuni, wale wenye fikra wakamkimbia. Chadema haikubaliki kwa wasomi, haikubaliki na Wazee, haikuwahi kukubalika na wanawake wa nchi hii, haikubaliki kwa Vijana na haikubaliki Kaskazini (hakuna Chadema Arusha, kilimanjaro wala manyara) wala Kusini , haina base Mashariki wala magharibi, Chadema ya leo ni YATIMA.
CHADEMA wamepoteza hamasa katika mikutano yao, wamepoteza mvuto kwa wananchi, wamekosa ajenda na hawana sera. Sio coverage ya TBC, ITV, Clouds TV ama media yeyote ile inaweza kuwasaidia kwasasa. Narudia tena kuwa Kampeni ni maarifa, mipango na akili, CHADEMA WAMEKOSA VYOTE....!!
Sijajua umetizama kwa namna gani, je ni ufuatiliaji wa majukwaani? ambao si kweli pia, tuelekeze haswa nyanja ulizozitizamaUongo na ukosefu wa utambuzi wa ukweli wa mambo. CCM leo ina hofia CHADEMA kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya vyama vingi, hili liko wazi sana.
Uchambuzi mzuri uliojaa hoja ya msingi, CHADEMA mjitafakari.Katika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya Mgogoro wa TBC na CHADEMA ambao msingi wake ulikuwa kukurupuka kwa MBOWE nakubaliana kabisa na Ndugu Shonza kuwa Freeman MUST BE DISPOSED..!
Sifa moja ya Kiongozi bora ni kufanya informed decisions, maamuzi yaliyopitia tafakuru ya kutosha na kupima madhara na faida ya maamuzi hayo, katika kile ambacho kimethibitika kuwa ni kukurupuka, Mbowe aliwafukuza waandishi wa TBC wakiwa Live katika mkutano wao wa ufunguzi Mbagala, katika namna ya kudhalilisha na ambayo ingepelekea kudhuriwa kwa waandishi hao ama mali zao kuharibiwa. Leo amejitokeza hadharani bila aibu anasema alishinikizwa na kupotoshwa wakati anafanya maamuzi hayo, alisema hivi pia siku Lowasa anarudi CCM, kwa Kiongozi wa Juu kabisa wa Chama tena aliyekuwepo madarakani kwa miongo kadhaa kurudia kosa lile lile na kutoa sababu zile zile za kufanya kosa hilo ni UJUHA.
Kilichonifurahisha zaidi ni akili za wafuasi wa CHADEMA, kwa namna wanavyoiponda TBC na kwa namna walivyompongeza Mwenyekiti wao kwa kuwafukuza TBC ni ajabu kwa namna wanavyosifia na kushangilia uamuzi wa kuwaomba msamaha TBC na kuwaomba warushe matangazo yao kwa mara nyingine. Chama kile cha Freeman, kina tatizo kubwa zaidi ya nilivyokuwa nikifikiria awali.,na tatizo hilo linaanzia kwa wafuasi kabla ya Viongozi, kuwa na wafuasi wasio na mwelekeo wasiojua wanataka nini, wanageuzwa kama samaki kikaangoni., ni tatizo na kwasababu hiyo Viongozi wanajua udhaifu wa wanachama wao na wanawajua kwa dhati kabisa kuwa ni watu wasiojielewa, watu wengine wanawaita kwa lile jina baya la Manyumbu, mimi siwezi kuwaita hivyo ila hili la kushangilia matangazo ya TBC kurudishwa limenifikirisha.
Freeman amefikia mwisho wa kufikiri, hana jipya, amekosa mwelekeo, amepoteza jimboni na anapoteza Taifani, amepanic na anaona giza limetanda katika safari yake ya kisiasa. Ni Mbowe amesababisha Chama kukimbiwa na Wabunge, Ni Mbowe ameivuruga Bavicha aliwapangia safu ya uongozi na watu aliowaweka wakamkimbia, ni mbowe ameivuruga Bawacha akamuweka Mdee kwasababu zake binafsi, akagawa ubunge wa Viti maalum kwa upendeleo na matamanio ya nafsi yake, akaendesha Chama kama kijiwe cha wahuni, wale wenye fikra wakamkimbia. Chadema haikubaliki kwa wasomi, haikubaliki na Wazee, haikuwahi kukubalika na wanawake wa nchi hii, haikubaliki kwa Vijana na haikubaliki Kaskazini (hakuna Chadema Arusha, kilimanjaro wala manyara) wala Kusini , haina base Mashariki wala magharibi, Chadema ya leo ni YATIMA.
CHADEMA wamepoteza hamasa katika mikutano yao, wamepoteza mvuto kwa wananchi, wamekosa ajenda na hawana sera. Sio coverage ya TBC, ITV, Clouds TV ama media yeyote ile inaweza kuwasaidia kwasasa. Narudia tena kuwa Kampeni ni maarifa, mipango na akili, CHADEMA WAMEKOSA VYOTE....!!
Mbowe ni mwenyekiti wa chadema lakini alikua akipokea maelekezo kwa Lema kua waondoe TBC na yeye akafuata sasa uenyekiti wa mbowe uko wapi?? Kumbe anafanya maamuzi ambayo sio yake?? Kweli chadema hawana viongozi wenye Highque kubwaKwanza mbowe ndiye aliesababisha CHADEMA wagombane na TBC
Wanaccm wanaoumia kwa uwepo wa mbowe chadema ni wenye nakisi ya akili. Haya walipaswa waseme chadema wenyewe. Au nyiye na nape pamoja na shonza ni chadema. Najua shonza kazimiss akili zake kubwa akiwa chadema yeye Sina shida naye. Huyu nape je nongwa na mbowe inatoka wapi?Hakuna anaeumia ila mnaelekezwa kwani yote yaliyosemwa ni kweli na hakuna la uongo
Mbowe hana jipya na CDM inakufa kifo kibaya mnoo
Nimekuelewa vizuri, hongera sana kwa thread hii. Ujumbe umewafikiaKatika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya Mgogoro wa TBC na CHADEMA ambao msingi wake ulikuwa kukurupuka kwa MBOWE nakubaliana kabisa na Ndugu Shonza kuwa Freeman MUST BE DISPOSED..!