Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

Wakati anafanya Maamuzi ya kuwafukuza TBC akiambiwa na LEMA alikua hajui kwamba anakosea na kuna wakati atahitaji maridhiano?
Hakuna kiongozi hapooo
 
Mwananchi sahiv anaangalia Nani w akimvusha kula milo mitatu kwa siku kuanzia mwaka huu November, sio Mvuto.
Ndio maana mnatumia wasanii kuleta Mvuto kwa wagombea wenu ok Bila wasanii hamna mvuto
 
Hakuna anaeumia ila mnaelekezwa kwani yote yaliyosemwa ni kweli na hakuna la uongo
Mbowe hana jipya na CDM inakufa kifo kibaya mnoo
 
Mwananchi sahiv anaangalia Nani w akimvusha kula milo mitatu kwa siku kuanzia mwaka huu November, sio Mvuto.
Ndio maana mnatumia wasanii kuleta Mvuto kwa wagombea wenu ok Bila wasanii hamna mvuto
Sasa kati ya hao wagombea nani anaweza kumsaidia mwananchi kupata milo mitatu zaidi ya JPM?
 
Ukweli usiopingika ni kuwa chadema imepoteza watu wanaoweza kufikiri Hilo limesababisha kiongozi mkuu (mbowe) kuzungukwa na wanaharaki ambao kiasili ni binadamu wenye mihemko hivyo kusababisha kufanya maamuzi ambayo yenye majuto baada ya kitambo kidogo.

Kumpoteza Dr.Slaa, Zitto, Dr. Mkumbo, Mama Anna pia kurudi nyuma kwa watu wenye hekima Kama Prof Baregu kumefanya chama kupoteza maono na muelekeo wa kisiasa. Watu wanaofikiri faida yao kuu ni kuleta majibu/suluhisho katika changamoto mbalimbali ndio maana haishangazi sana kuona Sasa hivi Chadema kuwa niya walalamishi tu kwani wameshindwa kutafuta njia ya kupambana na aina ya siasa za sasa kwa kuwa majibu ya maswali ya kipindi cha kikwete hayawezi kutatua changamoto za awamu hii.

Ushauri wangu kwa chadema ni lazima itambue na kuzilinda karama za watu wanaoweza kufikiri maana ni muhimu sana ili kufikia maono na malengo ya chama. Macho yangu yanawaona viongozi wachache wanaoweza kuwasaidia japo kwa sasa nafasi zao ni ndogo sana kushawishi maamuzi yenye busara na kulinda maono ya chama, watumieni na hakikisheni hamuwapotezi
 
Uongo na ukosefu wa utambuzi wa ukweli wa mambo. CCM leo ina hofia CHADEMA kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya vyama vingi, hili liko wazi sana.
unazungumza hofu kipindi hiki cha magufuli? kipindi ambacho nchi imefanya makubwa katika nyanja mbalimbali, kipindi ambacho cdm inaingia ktk uchaguzi kwa kukosa mgombea mwenye sifa
 
Yeah, MBOWE MUST BE DISPOSED
 
Ni vema ungekuwa unafanya reference kutoka kwa watu wenye weledi.

Yaani kabisa, na akili yako kamili, unaweza kuanzisha thread kwa reference ya Juliana! Inaonekana kwenye circle yako hakuna wenye hekima. Ongeza uwigo wa watu unaochangamana nao, unaweza kubahatisha japo mmoja mwenye hekima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshort wapo nyuma ya Muda na Siasa za sasa za hoja zimewapita kushoto wapo bado kwenye zama za kulalamika
 
Ni dhahiri Mbowe kakosa sifa za uongozi kwakumtizama kwa matukio kadhaa ya kimaamuzi, maamuzi yasiosikiliza pande zote (migogoro na wabunge wake), kupokea jambo na kulipeleka public pasipo fikra za kina (imeonekana katika tukio la tbc) lakini pia anaendeshwa na hisia kuliko maarifa na hekima. MUST BE DISPOSED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…