Mwanaukomee
Member
- Sep 1, 2020
- 61
- 87
Mgombea mwenza yupo kama body gurard anachekesha kweliChadema tuliihofia kipindi cha Lowassa 2015. Sasa hivi hata kampeni zimepooza kwasababu hakuna ushindani kabisa. Lissu mwenyewe hajui kama anagombea urais. Salum Mwalimu ndio kabisa! Hajijui kama ni Mgombea Mwenza au bodigadi wa Lissu!
Hawana Jambo kwasasa,Upinzani wa kutafuta huruma badala ya kutoa seraMgombea mwenza yupo kama body gurard anachekesha kweli
Ahahahahahahhahah! Na bahati mbaya hajifunzi kwa Mama Samia!Mgombea mwenza yupo kama body gurard anachekesha kweli
Haha iv nyie aliwaambia Hoja inajibiwa kwa matusi ni nan?Punguza uongo
Hadithi za alfu ulela ulela ndio hizi
Aliyekutuma mwambie anawashwa
Wataendelea kupiga kelele hadi pale watakapo pata akili na kujipanga baadae saanaAhahahahahahhahah! Na bahati mbaya hajifunzi kwa Mama Samia!
Hawana mvuto wa uongozi kabisa, just imagine eti Salum kweli?Ahahahahahahhahah! Na bahati mbaya hajifunzi kwa Mama Samia!
Nani anawaogopa?Kuwa mkweli sasa ccm kwa nini waogope kitu kinachoharibika.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Dogo naona ukanda unakusumbua sana !!. Cdm kama ni wabovu sisherehekee ?!Kimsingi bila Unafiki huyu Mzee Magufuli amefanya mengi sana ana stahili support na support ni kumpigia kura
Wanashida sana hawa wenzetu hawana hoja wanatafuta kura za huruma tuuKweli kabsa
Kam Magufulitanzania inamhitaji mgombea mwenye uoga wa mungu
Kwel kabsakutumia anga katika kampeni kwa mgombea wa chadema wakati ccm wakitumia magari ni sababu ya ushindi wa ccm maana anawafikia wananchi wengi hasa wale wa vijijini wenye kiu kuwaona kwa kufanya mikutano isiyo rasmi mingi
Wanatia huruma kwa kweliHawana Jambo kwasasa,Upinzani wa kutafuta huruma badala ya kutoa sera
Tukisherekea mapema itakua tumewanyanyasa, huo ni udhalilishaji wa kijinsiaDogo naona ukanda unakusumbua sana !!. Cdm kama ni wabovu sisherehekee ?!
Jibu kwa hojaUmeandk upuuz tu,PATHETIC!!!
KabisaJibu kwa hoja
Upuuzi ni kukimbilia kujibu nonsenseUmeandk upuuz tu,PATHETIC!!!
Mm naww cjui nan anatakiwa akasome,Dogo Kasome tuishen haya mambo huyawezi